Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,246
- 93,767
Kabisaaa nakama u mwanamke then unakua na viashiria ivo you should stop , wee mwanamke ,,kila kitu nakitafuta Mimi ,,ndan kumejaaa mivyakula ,,kwann uhangaike naroho mbaya ???? Unaona raha kupika chakula umwage lkn sio kumpa mtoto wajiran ambaye toka asubuh hajala ???..Sawa.
AiseeKabisaaa nakama u mwanamke then unakua na viashiria ivo you should stop , wee mwanamke ,,kila kitu nakitafuta Mimi ,,ndan kumejaaa mivyakula ,,kwann uhangaike naroho mbaya ???? Unaona raha kupika chakula umwage lkn sio kumpa mtoto wajiran ambaye toka asubuh hajala ???..
uchoyo nidalili namwanamke , asojua kupika ,akijua huwa hapendi kupika ,akipika hapendi kula ,,na sababu hapendi kula nimwembamba , alafu wanawake waivi niwachoyoo balaaaaa wao wanapenda tu kula vyakula vyakununua ...
Mara nyingi huishia kua masikin , nawanawake wahivi huwa hawana mawazo chanya yamaisha ,sababu anaona vyakula hsviishi sasa ajiongezi kwake kila kitu kipo sawa
Mwanamke mchoyo wachakula ( bajeti ). Mara nyingi hapendi watu ,,hapendi ndugu ,,wala marafiki zako ,, mwanamke mchoyo wakula huwa sio msafi safi ,, ,mwanamke huyu anapenda nguo sana na kujipodoa kupita kiasi ,, huyu mwanamke nimwepesi kukuambia ,, "* mama wann bna ,ungemtumia ela akatibiwa hukohuko * .
Wacha niishie tu hapa !!!. Mnisamehe tuuu jaman . huo ndo ukweli.
Haaaas unajua nn ,,,TABIA YAMTU NISAWA NARANGI YA NGOZI YAKE ..Hapa tunazungumzia watu na familia zao, sasa we inaonesha upo kisela zaid, ule peke yako vipi na una mke na watoto"" uwe na familia kama kuna siku hata moja utadhubutu kuita majirani wakusaidie msosi.
Teheeee pole sana .. Kwanza nashukuru nmezaliwa kwa Baba na Mama ambao kila siku lazima niseme asante Yesu.Aisee
Inaonekana umewahi kuwa muhanga wa kunyimwa msosi mkuu.
Calm down.
Nachojua kijijini kuna chakula kingi kuliko mjini,.
Sawa.Teheeee pole sana .. Kwanza nashukuru nmezaliwa kwa Baba na Mama ambao kila siku lazima niseme asante Yesu.
Nilipokua angalu chini ya uangalizi wao ,Tulikulaaaaa ,tulikunywaaa ,tulivaaaa natulisoma shule nzuri ,tulitibiwa hospital nzuri tulisafiri kwausafiri mzuriiiiiiiiii.
Nakosoa uchoyo , sababu Vijana wengi mabinti na wakiume ndugu zangu na wawili ambao hawakua ndugu ,walisomea kwetu nahata siku moja hawakuwah kutengwa na familia ., Leo hii wanamaelimu yao ,,tumekua wakubwa kila MTU na maisha yake ila Tumejikuta tunamaisha fulan ivo yenye raha ilopitilizaaaaa ..sasa naweza kwenda mbeya nikakaaaaaaaaa kama kwangu .
Naweza kwenda arusha nikakaaaaaaa kama kwangu .
Sasa km hawa watu ,familia yangu ,ingewatreat vibaya au ingewanyima Msaada ,,Leo ngeenda mbeya nakupata mwenyeji ???.
SHIDA YENU NIUCHOYO NAROHO MBAYA ZA UMASIKIN ,,, MNAIS KUSAIDIA MTU BASI ATAKUZIDO AU UNAPOTEZA .
NYINYI NDOWALE MTU NIMGEN ANAULIZIA ,UNAISHIA KUMWAMBIA KATA KONAAA.
TEMBEENI MUONE JINSI MAISHA YA KUSAIDIANA YANAVYOLIPA.
Kuna watu wa ajabu sana, mtu mzima analilia kufugwa!!Huu ndio ujumbe mkubwa uliotaka kuwafikishia watu wa mjini. Wewe mwenye maisha ya uhalisia kwanini uhangaike kufikia kwa watu? Ishi maisha yako ya uhalisia bila kutegemea mtu.
Eehhhhh ndo badiliken ,, sio kuzuga mpo mjin basi muwe wachoyo .Sawa.
Love matters,not food!Eehhhhh ndo badiliken ,, sio kuzuga mpo mjin basi muwe wachoyo .
Hata sisi tupo mjini ,tunamajukumu , nabado tunashare nawatu vile tulivyonavyo.
Humu JF sijui kuna shetan gan,,, Sijawahi kuona mwanamke mwenye moyo kama alokua nao Esther.. Mwanamke mwenye kupenda watu , namwenye moyo wakusaidia , Mwanamke anayejali wahitaji kuliko Nafsi yake .duuuhhhh .
Eti kesho nakesho kutwa , naww upate tatizo ,uanze kulia Liaaa ..jaman ooohhh dunia imenitenga ooohhhhhhh sijui nifanye nn ooohhhhh hamna wakunisaidia aaaaarrrggghhhhhh ...
Ukiwa nauwezo wakusaidia ,,saidia ,nenda zako ,usingoje shukuran ,,, IPO siku miaka imepita ,,, Huyu ulomsaidia Leo ,, Atakusaidia wew .
Nasio kua nroho mbaya ,, alafu siku moja unakutana nae nayeye ndo wakukusaidia ,,mwenzako keshasahau ,weee ndo unaanza kujichekesha ,,,oohhhh ndugu yangu ,,, naomba usahau yalopitaa ,,nisamehee sana ,,hakuna mkamilifu .....hiiiii yote yann ??????.
Heeeee mama ,, Sheria ya mafanikio ,,,nikutoa ili upate nafasi yakuingiza mapya.
"love is all matter"
Teh[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mm kuna dogo nilimpokea akfikia nyumbani yupo 18 to 20yrs...... Jamaa disciple kwenye chakula zero kabisa.Kuoga ni kama adhabu full uchafu, jamaa kafika mezani kakuta chai, mkate, blue band, jam, na soseji.... Dogo alifanyafujo mkate alikula slesi kama kumi bluband anapaka kama anaweka plaster ukutani, soseji Tano zote alipiga mwenyewe.... Alafu analalamika chakula laini akikai tumboni.....
Uwe na wakat mwema pia.Love matters,not food!
Btw nipo kijijini mimi.
Mkuu uwe na wakt mwema.
Tatizo mkija mnakula sana tv mnaangalia 24/7 umeme huku ni wa luku, then mna maswali ya ajabu ajabuKuishi town kazi sana
Watu wanaishi maisha ya kujionyesha angali hali zao za kiuchumi haziendani
Ukitaka kuona wanavyoteseka mwambie Nakuja mjini naomba nifikie kwako kwa siku mbili tatu.
Utashangaa jamaa atakavyokupa sababu lukuki ili tu ajinasue na kuku -host.
Shida yenu ni ipi
Misosi hakuna? au maisha ya budget ?
Au hamna pa kulala coz wengi wenu mnaishi vyumba viwili.
Ikitokea mgeni kupitisha siku alizosema ataondoka .....
utashangaa mnuno huo utakaopewa kuanzia ,wake zenu, watoto wenu ata dada wa kazi....... How pathetic Life is this?
Nawaulizeni tena watu wa mjini ,nyie upendo huwa mnautoa kwa wake na waume zenu tu?
Mbona mko wabinafsi hivyo?
Hamtaki ndg, jamaa wala wazazi wenu wawatembelee ,kisa usasa wenu na ubinafsi.
Mmepoteza uvumilivu kabisa
Hamtaki kujitesa na kujinyima hata kwa siku chache.........
Jamani njooni mjini muone vituko vya watu hawa.
Karibuni, povu ruksa
Siwezi kuficha kauli yako imenichekesha sana hadi machozi kutokaInasikitisha sana, kama hizi taarifa ni za kweli...
HaaaaaaaTatizo mkija mnakula sana tv mnaangalia 24/7 umeme huku ni wa luku, then mna maswali ya ajabu ajabu