Watu wa Mjini hawana upendo

sio uchoyo, hii ipo duniani kote, usimtembelee mtu muda wa kula bila yaarifa na usikie kwa mtu ukiwa na shida zako binafsi ukazidisha siku mbili kwake...mengine muulize DR SHIKA
 
hahaha mkuu ulikuwa na shauku kubwa
 
jamani mie rafk angu kanipigia simu asema atanitembelea mambo yake yakiwa mazuri ila anatoka dar huko huko na anakuja kisiwani nimemwambia poa asijali uzuri nae ni bechula kama mimi hvyo tutaishi kibechula zaidi....

mie nadhani hofu zenu tu mbna kutembelewa ni jambo zuri tu jamanii
 
mh sio kwa povu hili ase

hahahah....au kuanza kutangaza shida hahah
Hawa watu wa ajabu Sana. Wanakuja mikono mitupu.cha ajabu wakitaka kuondoka wanataka uwafungashie mzigo wa maana.akiona shati atabeba, suruali atabeba,
Na nauli atataka umpe.
 
Sasa ukishagundua kuwa watu wa mjini hawana upendo,fanya kurudi kijinini!
Itapendeza zaidi.!
 
Kumbe tatizo sio Upendo!Tatizo ni Chakula.
Upendo hupaswi kupimwa kwa chakula pekee
 
Kumbe tatizo sio Upendo!Tatizo ni Chakula.
Upendo hupaswi kupimwa kwa chakula pekee
Kama unaweka uchoyo hata kwenye chakula ambacho huja kukitoa km kinyesi ,,nin kingine ????? Unacho.

Ukimnyima MTU chakula ,,unahisi hata ukimpa nguo atakuelewa ????? .
 
Sasa ukishagundua kuwa watu wa mjini hawana upendo,fanya kurudi kijinini!
Itapendeza zaidi.!
Mmmhhhh ,, unaweza kweli kukaa nandugu nawamme ???[emoji15] .

Mie namwogopa sana mwanamke aliye Mwingi Wa bajeti .
Unakuja na rafiki zako, mamaaaaa weeee iko kichakula ,,mpaka mwenzako wakiondoka wanakusema ..heeeeee.
Kweli kila MTU na bosi wake.

Ndio maana napenda mwanamke kwanza anayependa kula na anayependa kupika alafu awe mwenye kupenda watu ,rafiki zake yaaan ilimradi ndan kusiishe vicheko.
 
Wa mikoani mkija mjini fikieni Guest House, njooni kwetu kututembelea, tena kwa appointment, ni sio ukeshe, lisaa masaa 2 uondoke ukafanye yaliyokuleta Mjini...
Poleni, ila ndio matunda ya maendeleo, utu umekwisha kabisa,
 
Mjini uje una sababu, sio kuja kung'alisha tu sharubu
 
Kama unaweka uchoyo hata kwenye chakula ambacho huja kukitoa km kinyesi ,,nin kingine ????? Unacho.

Ukimnyima MTU chakula ,,unahisi hata ukimpa nguo atakuelewa ????? .
Mtu akikunyima chakula yakupasa umpende sana!
Usipende sana chakula kuliko huyo mtu.
Maana yake umekipenda sana kinyesi kuliko yeye!
Kumbe tatizo sio upendo tena...ni chakula!
 
akifika mgeni kutoka kijijini kaja mjini we siku hyo hyo muage kwamba waenda kijijini huko huko..

nadhani mtarudi wote tu
 
Mtu akikunyima chakula yakupasa umpende sana!
Usipende sana chakula kuliko huyo mtu.
Maana yake umekipenda sana kinyesi kuliko yeye!
Kumbe tatizo sio upendo tena...ni chakula!
Hata hueleweki naona unasadifisha roho mbaya tu.

Tulipewa upendo ILI kutoa nakusaidia wahitaji ,, unawezaje sema unaupendo while outside there kuna jiran analala njaa ??? Wanawe hawana nguo ,,lkn wewe unacho even though nikidogo lkn unacho ????? .

Achen kua na upendo wakwenye makaratasi ....upendo umejengwa ktk matendo basi ..namatendo yenyewe nihayo kutoa nakusaidia anayehitaji .
Kinyume nahapo nimbwembwe...

Utaniambiaje unanipenda ,wakat uliniacha nishinde njaa malangon kwako ???? Ilihali chakula kimo ndani ???.

Weee unaupendo au msaniii
 
Sawa.
 
Hapa tunazungumzia watu na familia zao, sasa we inaonesha upo kisela zaid, ule peke yako vipi na una mke na watoto"" uwe na familia kama kuna siku hata moja utadhubutu kuita majirani wakusaidie msosi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…