hahaaa sio kweli mkuuNyie hata mtu anayepita tu, hamuonyeshi ukarimu.
Mnapenda sana ubinafsi
Mbona nyie mnakuja vijijini?Wakati wenzio wanahamia mjini wewe uliona kijijini ndo bora. Baki huko huko acha kusumbua faragha za watu
Wageni toka nje ya nchiUfikie kwangu kwani nyumba za wageni walimjengea nani?
Basi mshajua wa mjini wana njaa msilazimishe kwenda.Mbona nyie mnakuja vijijini?
Acheni ubinafsi, uku mna act kama washua flan, kumbe njaa tu
Sawa ila upendo wenu umepoa
Full maonyesho tu, lakini maisha yenu hayana uhalisia
Mi nishaachaga, nawaoneaga tu hurumaBasi mshajua wa mjini wana njaa msilazimishe kwenda.
Huku nyumba za wageni zinajaa wageni wa Dar to Dar yaani atokako Dar aendako Dar!Wageni toka nje ya nchi
HaaaahhhHuku nyumba za wageni zinajaa wageni wa Dar to Dar yaani atokako Dar aendako Dar!
hahaaaa kabisa yaani...kuna dar ya nyumba ya wageni na dar ya DAB MZEE wakolomije..kwahiyo hao wageni hawajakosea at..so wanapo pata ladha ya ule utamu wa tunda lakati huwa wanajihisi kuwa wapo ndani ya dar nyingineHuku nyumba za wageni zinajaa wageni wa Dar to Dar yaani atokako Dar aendako Dar!
Utu huku unakufa njaa? endelea mkuu.Hata huku mkoani kupata buku ni shida
Ila uku tunathamini utu
hahaaa hapo mmekutana ..mmoja nimfuasi wa ujamaaUtu huku unakufa njaa? endelea mkuu.
Utu kwanza, mengine badaeUtu huku unakufa njaa? endelea mkuu.
Uo ubepari wenu unawafanya muwe watumwahahaaa hapo mmekutana ..mmoja nimfuasi wa ujamaa
namwingine nimfuasi wa ubepari...endeleeni
mimi Nipo natizma tu hiyo series yenu
Hapo sawaMie mgeni njoo ila sio ufike na kuanza kutuma tuma uliowakuta hapo nyumban,utengewe msosi ule bila kutoa vyombo unainuka na kuondoka,maji ya kuoga wataka ya moto napo uwekewe bafun loooh kaa huko hukooo
ni kweli kabisa 100%, mimi pia sipendagi wageni maana budget zangu za kigeto geto zinavurugika.
hahaaa mkuu hii kitu itakuwa imekukuta wallahi tena...yaani una element zote zakuwa muhanga wa Tabia za baadhi ya watu wamjini...Uo ubepari wenu unawafanya muwe watumwa
Hamtaki hata wa kwenu, kisa bajeti.
Kwani mkitulaza njaa huwa tunawalaumu? au huwa mnajishitukia tu
hahaaaa huu sasa niuwongo ulioamua kuwa uchi kabisa...Sio bajet wala geto nafasi ni kwenye moyo
Kama moyo wako wewe wa ndimu au pilipili hoho ama wakorosho huwezi kumkaribisha hata mzazi wako nyumbani kwako
Kingine kua na tabia kama hio ni ile siku ukienda likizo kijijini kwenu basi huko utajifanya wa mjini kweli kujionesha wewe mtu wa wamatawi ya juu unavaa jins mpya tu na ma kadets
Kumbe hizo nguo uliazima ama ulikodi tu kwa dobi,,mlo wako mara moja kwa siku
Sasa unahofia kua ukipata mgeni utaumbuka[emoji3][emoji3]