Watu wa Mbeya mtabadilika lini?


Ccm ni janga na kwa mbeya tutaifuta kabisa..lowasa hoyeeeeeeeeee
 
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.

John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.

Mwaka huu hadi diwani hampati mbeya
 
Wala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.

John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.

Hatuna muda mchafu wa kuichagua ccm
 

Waache waendelee kuota ndoto za mchana wakati ccm ndiyo inazidi kufutika ktk ramani ya kisiasa nchini tanzania
 
Jamaa hadi wamekimbia hapa! Twaweza wameonesha kwenye ripoti yao kua malofa na wapumbavu ndo wanaoichagua ccm. Mtu mwenye akili timamu hawezi sema ccm imewajengea barabara lazima atakua mbumbumbu tu kichwani na watu wengi mbeya hawako hivyo. Wanajitambua na Uzuri unaambiwa hapo hapo. Unapoenda mbeya uwe unajipanga. Mama salima alishawahi kuoneshwa vidole viwili pale Tunduma na akina mama. Pombe kwanza wamemstahi sana Jk alipopolewa na mawe kabisa kule Chunya
 
Mji unarudi rasmi kwa ccm uchaguzi huu, kama fujo zingekuwa ndio kura basi uchaguzi wa serikali mitaa karibu yote isingechukuliwa na ccm. Huu ndio usokwe nnaousema hapa.

Sahau kabisa habari ya ccm mkoani mbeya
 
Wala sio kizazi mkuu, hao waliofanya hivyo ni makonda na wamachinga wachache sana.Utashangaa utakapoyaona matokeo ya uchaguzi mkoa wa Mbeya, keep my words, Magufuli will carry the day in this region.

Ccm imeshafutika ndani ya mkoa wa mbeya
 
Dr Magufuri ni mtu safi shida kubwa ni wanamzunguka, najiuliza atapenyaje kufanya kazi maana mfumo umeoza. Au labda akishinda ahame chama hapo atafanya kazi
 
Mkoa wa Mbeya kati ya Wabunge 10 ni 2 tu wa Upinzani Sugu na Silinde
 

Nawapongeza sana watu wa mbeya kwa maamuzi waliyochukua na yote hyo ni elimu waliyonayo. Msirudi nyuma ccm haina nafasi tena.
 
Tatizo Siyo Kuzomea Jmn, Wale Walikuwa Wakimshangilia Barabarani, Wkt. Akipita Njia Na Kuanza Kuwasalimu Kwa KUOMBA Wampigie KURA!! Shida ULE Haukuwa Mkutano, Kulikuwa WATU Wa Aina TOFAUTI!! Sasa Kama Kuna Wafuasi Wa CCM Na Ukawa Eneo Lile, Ni MATOKEO Yake!!!??? Kama Si Kila Mtu Kushangalia Kundi Lake!!! Sasa Humu Ndio Mnaleta Ushamba Wenu!! Kama Alizomewa POLISI WALIKUWA Wapi!!!!??? Si Wangewakamata Basi!!! ALAFU Kusema Kuwa Wenye Haki Ya Kuwa Wazomeaji Ni Watanzania Wa Mtwara Na Kigoma Au Tabora, Eti Wao Ndio Wana MAISHA Magumu TOFAUTI Na Mbeya, Arusha, Mwanza, Mara, Moshi, Dar!! Sio SAHIHI!! Kila Mtanzania Ana Haki Ya Kujua Shida Zake, Matatizo Na Changamoto Zinazomkabili!! Sasa Kama Sehemu Nyingine Wamelala Usingizi, Basi Na WENGINE Walale!!!
 
Nawapongeza sana watu wa mbeya kwa maamuzi waliyochukua na yote hyo ni elimu waliyonayo. Msirudi nyuma ccm haina nafasi tena.

Hatuwezi kufanya uzembe kama huo, tumeshaamua kuifuta kabisa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…