Watu wa Mbeya mtabadilika lini?


Mkuu hawa watu walimzomea hata Nyerere, Baba wataifa akawambia mnajisumbua !mkapa Ndio Rais ,alafu hapo Mwanjelwa watanyooka tu Wewe Tulia yaani wana zomea wasichikijua kabisa ,nilikuwepo pale watu wenye Busara wakasema ,Hawa Ndio wanataka Urais ,hapana hapana !!!
 
Tatizo lilikuwa kumpiga vita mtu waliyempenda Mwandosya.
Kama una kumbukumbu, Mwandosya aliimbiwa 'Rais...Rais....' mbele ya Lowasa akiwa waziri mkuu.
Mwakubwa wakaamua systematically to cut him dow to size.
Hawakujua kuwa wanaicut down to size CCM.

Niambie kiongozi yeyote machachari CCM aliyebaki Mbeya, hakuna.
Na nadiriki kusema HAKUNA kiongozi mwenye ushawishi aliyebaki, kwamfano wa Mwandosya ambaye sasa amejikatia tamaa nahajaonekana popote kwenye kampeni.
Matokeo ya siasa za mtandao ndio faida ya watu kama Sugu.
 
Mkuu bahati mbaya sana hao watu wa Mbeya huwezi watisha, maana moja ya kitu kinachowaudhi sana ni kusahaulika na CCM miaka nenda rudi. Mbeya wanadai maendeleo waliyonayo, yanatokana na juhudi zao wenyewe... Jaribu kuongea na mtu wa Mbeya uone kama utamtisha kwa hilo. Hilo watisheni watu wa Kibamba.
 
Kale malimau,next time mkileta maigizo tutasiliba kabisa.
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.
 

punguza jaziba na kupanic nyie mafisccm hyo ndio mbeya tena shukuru mmezomewa Tu mngepokolewa mawe kabisa. Kama rais alipigwa mawe ndio nyie mayungayembe mlete dharau zenu muone. Alafu kikwete ajawai kuwalea wana mbeya yeye kajilimbikizia mabilioni na familia na maswahiba wake mameifanaya Tanzania shamba la bibi huku wanambea wakiteseka na huduma mbovu za kijamii au hakuna kabisa izo huduma. Mabadiliko ayazuiliki twende na lowassa kwa ushindi wa kishindo hapo Oct 25 ata magufuli analitambua Hilo.
 
Sio Mbeya tu mikoa yote ambayo watu wake wanajitambua wameichoka CCM!!

TWAWEZA imeeleza bayana wapenzi wa CCM ni wajinga na. masikini sana!!

Ndio maana watoto wa ushenzini kama wewe mnashabikia utumbo wa CCM!!

Mwambie huyo
 
T
Naomba nikurekebishe ccm haijawahi kujenga barabara, bali kodi zetu wananchi
 
Pole,ndiyo ujue vijana wamechoka na SIASA za kudanganya,hebu imagine unasimama kuhutubia halafu unasema ..."Nashangaa kuona Mji wa KAHAMA hauna hata barabara moja wakati unayeongea ndiyo Waziri wa UJENZI"Tusiwe wajinga jamani,tusipende kupumbazwa na uongo wa wanasiasa.

Pili wanahaki maradi hawajamfanyia dhihaka kama ile ya yule Msukuma
 

Mkuu wewe kweli unaifahamu Mbeya.
CCM Mtandao imetumia nguvu kubwa kumbimoa Mwandosya hadi kuweka watu kama Tomasi Abson kumdhibiti ili kuua nguvu yaje.

Kitu ambacho CCM Mtandao hsikujua ni kwamba ikikibomoa kabisa chana mkoani na kukisambaratisha.

Ccm Mtandao ilikuwa pamoja na Lowasa hadi miezi miwili mitatu iliyopita.

Sasa leo kimekufa watu wansuliza kimekufaje?
Huu ni ujinga na susi wengine makada tulionya juu ya hili siku nyingi sana.

Tunavuna tulichopanda.
 

Safari hii hadi kigamboni lazima akione cha moto tunamsubiri kwa hamu sana na madharau yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…