Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Mnasemaje?
 

Attachments

  • 1443531840137.jpg
    77.8 KB · Views: 187
pole sana matumbo , Mbeya ni taifa huru , hasa baada ya kukata minyororo ya utumwa .
 
Bahati nzuri ile clip wote tumeiona, kule sio kuzomea kwanza ungewapongeza kwa kutokua wanafiki cause wameonesha kile wanachokiamini, walipiga kelele na kumwambia Magufuli kwamba rais wao ni Lowassa, kelele za namna ile ile zingemtaja Magufuli kama raisi wao mtarajiwa nina uhakika usingeita ile kama zomea zomea bali ungesema ni "wazalendo" Tujenge tabia ya kukubaliana na mawazo ya wengine mkuu, wengine wanamwona Nguruwe kua ni NAJISI wakati wengine hicho kwao ni chakula na still watu hao hao ni majirani, marafiki na hata wana OLEANA. Ipo clip moja pia ya wiki hi Magufuli anaonekana anasema Chadema OYEEEEEEE, Utasemaje na hiyo sasa?
 

Nguvu ya umma.

Sisi na umma nyie na policcm.
 
kwetu hatutaki ujinga ujinga,utoto uko ccm wewe huwezi kuwapromise watu alafu ushindwe kutekeleze utegemee watu waendelee kukuchekea kipuuzi,haya mambo ndio yamefanya nyie muendelee kuamini katika zidumu fikra za mwenyekiti wakati wazi mwenyekiti anawapoteza,hivi hujui hata wasukuma sasa wameiga style ya wanambeya??muulize Magufuli kilicho mkuta Geita na bado akija Mwanza yatamkuta kama hayo
 
babu kizee upo,turudi shule wote maana stress zako magufuli hawezi ziondoa,kapige shule upate akili,penikeee vepeeeeeeeee

I wonder the level of education and literacy at your possession and reach, stop portraying and parading your idiocy,gullibility and stupidity on a public forum over a cause not yours!!!


Can you please leave this thread now?

Please be fast with it.

I don want to see your poo.
 
Pambaff. unafikiri siye ni M.A.T.A.K.O. kama nyie? sie haturembi. wala hatupelekeshwi na akili ndogo. Mbeya ni nchi huru kama hujui.mambo ya mbeya tuachie wana Mbeya

Wewe unawakilisha akili za vijana wa sasa wa Mbeya. Wengi wana akili kama hizi.

Huu ni ugonjwa unaitwa u-Sokwe. Haupo kwenye akili ya binadamu wa kawaida unatakiwa kurudi mwituni. Naihurumia ile Mbeya iliyokuwa ya wajanja.
 
"Hakuna mtu atakayefikiria kwa niaba ya watu wa Mbeya,acha wafanye wanayoyaona yanafaa"
 

utaandika mpaka kichina ptyeeeee,LOWASSSA ANATOSHA
 


Mwambie tu ukweli kuwa watu wa kutoka Mbeya HATUNAGA UNAFIKI. Ajue hata hali ya elimu mbeya iko juu bye bye bye CCM
 
wabunge wa ccm wanaongoza kuzomea bungeni nao ni ukawa wanatoka mbeya?au nao ni masela?

Ebu mueleze huyu mtoa mada mwenye kuropoka zomea zomea wameiga kutoka kwa wabunge wa ccm. Kama hawakujua madhara yake ndiyo haya.
 
Yani mleta mada ww ni ms...n...g... Na mama yako pia.usiipimie mbeya wewe,ile ni sehemu nyingine.Sijui wa wapi ww ----
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…