Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Kambarage ashawahi kukong'otwa mawe huko Mbeya, unashangaa Magufuli kuzomewa?
USIWASINGIZIE WATU WA MBEYA,NI KWAMBA WAMEICHOKA CCM,huo ndio ukweli we subiri utaona ifikapo October 25.
Pole sana siasa za vitisho hazina nguvu tena
Duuh...Mbeya hawarembi?
Kambarage ashawahi kukong'otwa mawe huko Mbeya, unashangaa Magufuli kuzomewa?
Haha wamuuze na katili Mkapa kwanini hana hamu na Mbeya!!
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.
Hawajaichoka ccm ila ni watu wanaopenda sana ushabiki wa kishamba. Yani wana akili za kushikiwa.
Nyie huko ndio bado mnaishi 90s.. Mkishazomea uwa mnapata nini? Mji umeharibika sana siku hizi huo, mnaaibisha wazee wenu.
Nakumbuka Mkapa alishikishwa adabu hana hamu!!
2010 walimwambia JK bila aibu "hatukupi kura!!"
Na pia JK naye ashawahi kukong'otwa mawe huko huko Mbeya...
Magufuli kafanyiwa staha mbona...
Hamna dhiki na mnashindia maparachichi?
Mji wazawa ni manamba na wamachinga wageni ndio wenye maisha.
Hizo barabara mnazosema mmejengewa na ccm ila akili yenu inawaza fujo tu kama mngeweza mngezifumua fumua ili mridhike tu na kujiona ndio wajanja.
We ushaona wapi mtu anaechuna ngozi ya binadamu mwenzie akawa na akili sawa. Mna tatizo kubwa sana nyie watu.