Watu wa Mbeya mpo tayari?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Siku ya jumanne SUPU YA MAWE nitakuwa hapo jijini Mbeya nikiwa na mzigo wangu wa aacounting software wa kutosha, ni ile ile software ya Quickbooks inapatikana kwa sh laki moja na ishirini tu.
Nunua sasa ili uweze kufanya biashara yako kisomi kwa kuhifadhi taarifa zako za kifedha kwenye software hii.

Inafaa kwa wenye maduka madogo hata kama lile la Mangi na mpaka wenye makapuni makubwa kama Bakhresa.

Wasiliane nami ili uweze kujipatia kila kilicho bora kabisa kwa biashara. Bila kusahau kuwa wale wa mikoa mingine tunatuma kwa gharama zetu.

Tuwasiliane kupitia PM au email: tonyhaule@hotmail.com
 
Itakuwaje kuhusu jinsi ya kutumia,mtamuelekeza mteja au?na ni quickbook toleo gan coz kuna 2009,2010,2012 na hata 2014 na zote zinahitaji skills jinsi ya kutumia,
 
Back
Top Bottom