Watu wa Mbeya bwana! na majina yao.....

Watu wa Mbeya bwana! na majina yao.....

lidoda

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2008
Posts
641
Reaction score
576

Basi rafiki yangu Juma alikwenda Mbeya,alipofika kule akakutana na swahiba zake akina Mwakipesile,Mwambigija,Mwakalinga na Mwamunyange.Ili kuimarisha mira na urafiki wao akaomba nae aongezewe neno Mwa kabla ya jina lake yaani Juma
hivyo akaitwa Mwajuma.

nae akawa M-mbeya.

 
Aiseee! wakikukamata hawa jamaa sijui utawaeleza nini
 
Back
Top Bottom