Tman900
Senior Member
- May 30, 2017
- 176
- 350
Huku mtaani kwetu jana kulikuwa na kichapo kuna mtu wa mamlaka inasemekana ameibiwa juzi na Vibaka, So limekuja kundi la watu Saba wakiwa na malungu na Fimbo wamepiga watu sana.
Wakiwa wanajitapa " Kama nyinyi wanaume tokeni nje"
Watu wamekimbia baada ya kuona kipigo kinaendelea kwa Kila anayekatiza hapa mtaani.
Mi sio mjuzi wa lolote, ila naomba kujua kwa anayeelewa hawa watu wa mamlaka wakiibiwa ndo wanaruhusiwa kuja kupiga watu ovyo mtaani.
Je, wao wapo juu ya sheria kwa Kila kitu.