Watu wa Mamlaka wanaruhusiwa kupiga na kujeruhi raia?

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
175
343
Huku mtaani kwetu jana kulikuwa na kichapo kuna mtu wa mamlaka inasemekana ameibiwa juzi na Vibaka, So limekuja kundi la watu Saba wakiwa na malungu na Fimbo wamepiga watu sana.

Wakiwa wanajitapa " Kama nyinyi wanaume tokeni nje"

Watu wamekimbia baada ya kuona kipigo kinaendelea kwa Kila anayekatiza hapa mtaani.

Mi sio mjuzi wa lolote, ila naomba kujua kwa anayeelewa hawa watu wa mamlaka wakiibiwa ndo wanaruhusiwa kuja kupiga watu ovyo mtaani.

Je, wao wapo juu ya sheria kwa Kila kitu.
 
Sasa “malungu” ni nini?
 
Sasa ubaogopa nini kutaja hao watu waliovamia ni jeshi gani
 
Umempa jibu zuri, sana maana ipo siku yatamkuta kaka sio yeye Familia yake.
Uku Kuna kijana wamemvunja mkono Ni Boda Boda, Sasa Yuko home anateseka na maumivu.
 
Hapa uswahilini ukishakua na kanafasi fulani hivi kwenye "sirikari" unaweza kufanya lolote bila kizuizi kwa kifupi uswahilini ukiwa na pesa au nyadhifa fulani unakua uko juu ya Sheria
 
Hao jamaa kuna siku watakutana na vichwa mbovu watandikwe risasi wapotezwe kabisa
Nazani Tukio likiwa hivyo itakua Ugonvi wa Kila siku, Hawa Jamaa Dhahili wako Juu ya sheria, na kwa Mtazamo wangu mentality yao wao wako smart for everything, Hawa Jamaa Hata mkigombea Demu anaenda kuita wenzake.
 
Huku mtaani kwetu jana kulikuwa na kichapo kuna mtu wa mamlaka inasemekana ameibiwa juzi na Vibaka, So limekuja kundi la watu Saba wakiwa na malungu na Fimbo wamepiga watu sana.

Wakiwa wanajitapa " Kama nyinyi wanaume tokeni nje"

Watu wamekimbia baada ya kuona kipigo kinaendelea kwa Kila anayekatiza hapa mtaani.

Mi sio mjuzi wa lolote, ila naomba kujua kwa anayeelewa hawa watu wa mamlaka wakiibiwa ndo wanaruhusiwa kuja kupiga watu ovyo mtaani.

Je, wao wapo juu ya sheria kwa Kila kitu.
Acha mihemko sema nn kimetokea
 
Hapa uswahilini ukishakua na kanafasi fulani hivi kwenye "sirikari" unaweza kufanya lolote bila kizuizi kwa kifupi uswahilini ukiwa na pesa au nyadhifa fulani unakua uko juu ya Sheria
Kweli ndugu Yangu "MIUNGU WATU" UN TACHABLE
 
Uzuzu wa kiuoga watanzania, yaani watu 10tu wasimamishe kitongoji chenye vijana zaidi ya 200,why hamku push back?,acha kulalama kila kitu,juzi kati watu wa kawe walikimbia nyumba zao,kisa 10 MPs eti wamewavamia?,zuzu mmoja akaamua kukimbilia humu kwenye soft landing!!
 
Acha mihemko sema nn kimetokea
Hakuna mihemko, ombi langu kwa Mungu Tukio Kama hili la kupigwa watu litokee kwenye Familia yako, na Apigwe mtu unaempenda ktk Familia yako.
Mi mtu wa Kawaida Sana Sina Hata mjomba mjumbe wa Nyumba Kumi.
Na siku akipigwa ndugu yako apate jeraha Kama alilopata Boda Boda. Nilipomuona nilimuone huruma Sana.
Kapigwa Yeye na Abiria wake.
 
Uzuzu wa kiuoga watanzania, yaani watu 10tu wasimamishe kitongoji chenye vijana zaidi ya 200,why hamku push back?,acha kulalama kila kitu,juzi kati watu wa kawe walikimbia nyumba zao,kisa 10 MPs eti wamewavamia?,zuzu mmoja akaamua kukimbilia humu kwenye soft landing!!
Sawa. Mzee kwa kua upo Nchi ya Kusadikika Subiri litafika mtaani kwako.
 
Nazani Tukio likiwa hivyo itakua Ugonvi wa Kila siku, Hawa Jamaa Dhahili wako Juu ya sheria, na kwa Mtazamo wangu mentality yao wao wako smart for everything, Hawa Jamaa Hata mkigombea Demu anaenda kuita wenzake.
Yan kosa kubwa ni hapo kuwa na mentality kwamba wako smart for everything. Hakuna aliye mkamilifu 100% kuna sehemu atajichanganya tu na hapo ndio atajuta na kujuta.
 
Hiyo picha inaonesha tu kwamba jeshi limekosa utii/weledi, nitashangaa kwa hao vijana waliofanya upumbavu wataendelea kua kwenye nafasi walizonazo.
 
Huku mtaani kwetu jana kulikuwa na kichapo kuna mtu wa mamlaka inasemekana ameibiwa juzi na Vibaka, So limekuja kundi la watu Saba wakiwa na malungu na Fimbo wamepiga watu sana.

Wakiwa wanajitapa " Kama nyinyi wanaume tokeni nje"

Watu wamekimbia baada ya kuona kipigo kinaendelea kwa Kila anayekatiza hapa mtaani.

Mi sio mjuzi wa lolote, ila naomba kujua kwa anayeelewa hawa watu wa mamlaka wakiibiwa ndo wanaruhusiwa kuja kupiga watu ovyo mtaani.

Je, wao wapo juu ya sheria kwa Kila kitu.
Husemi tukio limetokea wapi? Mtaani kwenu ni wapi?

Mtu wa Mamlaka ndio nani? Anafanya kazi wapi? Bado unamuogopa hata kusema jina lake, kazi? Cheo, mamlaka yake mtandaoni?

Unataka usaidiwe vipi ikiwa hata huwezi kuleta habari kamili.
 
Back
Top Bottom