Watu wa mabondeni tunateseka, msaada tafadhali

Watu wa mabondeni tunateseka, msaada tafadhali

Tbs au Nemc
kuishi mabondeni, sehemu zisizoruhusiwa ni sawa na counterfeit good/service au substandard good/service! kwa sasa wanafuatiliwa na NEMC. nilitumia kauli hiyo ili wajue kuwa hata wanavyopiga kelele, wajue wanapata huduma iliyochini ya kiwango!
 
Tatizo baadhi ya watanzania ni wabishi na much know hata kama wanakinzana na sheria....sasa mnalialia nini wakati mpo kinyume na sheria....media zilishaonyesha hata huyo Magu alishaamuru ukuta wa nyumba ya baba yake ushushwe kwa sababu upo ktk hifadhi ya barabara....ninyi ni akina nani hadi mhurumiwe kwa kuvunja sheria,c'mon.....ondokeni aisee kwanza nyi ni sababu ya mto kuwa mchafu,kupoteza muda wa serikali kuwashughulikia nyie tu yearly kwa mafuriko,mnabisha nini,...bisheni tu ila kwa jpm mtaisoma
 
Back
Top Bottom