petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
Ebu pisheni mnagandana mabondeni huko kwani nyie vyura muishi kwenye madibwi na wewe ukipigiwa simu unawambia niko dar hahaha kama mjini hukuwezi rudi baba si lazima wote tuwe mjini
Dawa ya kuwahamisha watu wa mabondeni/sehemu hatarishi ni kubomoa tu nyumba ni sio vinginevyo, ni vyema wakabomoa wenyewe kuliko kusubiria hatari itakayo wakumba, hata wakipewa miaka 10 kamwe hatohama!Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?
Leo hii tunaambiwa tarehe 5 mwisho wa kuishi kwenye nyumba zetu, hivi anajua adha na mateso tunayoyapata sie?? Leo hii mtu unaambiwa uhame na mahali pa kwenda huna, watoto wanahitaji ada, uniform, madaftari n,k na pesa huna hivi kweli ni haki?
Kuna wengine wamezoea kuishi nyumba za mabondeni, sio kwamba wanapenda kupanga huku bali kipato chao hakiruhusu kuishi ma kupanga sehemu nzuri, asilimia kubwa ya wapangaji wa nyumba za mabondeni ni makapuku wa kutupwa, yaani huku vyumba ni elfu 20 hadi 25, kwa hiyo mtu nikiwa na laki na nusu naishi miezi sita, laki tatu naenjoy mwaka mzima, sasa leo hii vyumba vinabomolewa tutaishi wapi sie tuliozea kupanga nyumba za bei nafuu? Hivi hii serikali inamuangalia mtu wa hali ya chini kweli?
Yani leo tar 2 na 5 ni mwisho nawaza hadi nashindwa ntaishije na hawa watoto wawili jaman. Wenye nyumba wao mnadai wamepewa viwanja, je vipi kuhusu sisi wapangaji ambao tumezoea nyumba za bei chee kutokana na kipato chetu kidogo? Safari hii tutaumwa wengi sana kwa sababu ya serikali ya Magufuli lakini pia Magufuli sie hatukukuchagua ili ubomoe nyumba zetu bali tulihitaji utuboreshee maisha yetu na je ni kweli huyu Rais hajaona kitu kikubwa cha kuanza nacho hadi aje abomoe nyumba zetu wajamaneni??
Mimi huu mwaka wa 3 naishi bondeni na sijawahi kuona maji yameua kabisa, maana sie ikija mvua huwa tunahama na ikiisha tunarudi, maji yakijaa huwa tuanayapisha na mvua ikikata huwa tunarudi kusafisha vyumba vyetu na kuishi, bora ya Kikwete kuliko Magufuli
Kwanza we hata hukumchagua.Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?
Leo hii tunaambiwa tarehe 5 mwisho wa kuishi kwenye nyumba zetu, hivi anajua adha na mateso tunayoyapata sie?? Leo hii mtu unaambiwa uhame na mahali pa kwenda huna, watoto wanahitaji ada, uniform, madaftari n,k na pesa huna hivi kweli ni haki?
Kuna wengine wamezoea kuishi nyumba za mabondeni, sio kwamba wanapenda kupanga huku bali kipato chao hakiruhusu kuishi ma kupanga sehemu nzuri, asilimia kubwa ya wapangaji wa nyumba za mabondeni ni makapuku wa kutupwa, yaani huku vyumba ni elfu 20 hadi 25, kwa hiyo mtu nikiwa na laki na nusu naishi miezi sita, laki tatu naenjoy mwaka mzima, sasa leo hii vyumba vinabomolewa tutaishi wapi sie tuliozea kupanga nyumba za bei nafuu? Hivi hii serikali inamuangalia mtu wa hali ya chini kweli?
Yani leo tar 2 na 5 ni mwisho nawaza hadi nashindwa ntaishije na hawa watoto wawili jaman. Wenye nyumba wao mnadai wamepewa viwanja, je vipi kuhusu sisi wapangaji ambao tumezoea nyumba za bei chee kutokana na kipato chetu kidogo? Safari hii tutaumwa wengi sana kwa sababu ya serikali ya Magufuli lakini pia Magufuli sie hatukukuchagua ili ubomoe nyumba zetu bali tulihitaji utuboreshee maisha yetu na je ni kweli huyu Rais hajaona kitu kikubwa cha kuanza nacho hadi aje abomoe nyumba zetu wajamaneni??
Mimi huu mwaka wa 3 naishi bondeni na sijawahi kuona maji yameua kabisa, maana sie ikija mvua huwa tunahama na ikiisha tunarudi, maji yakijaa huwa tuanayapisha na mvua ikikata huwa tunarudi kusafisha vyumba vyetu na kuishi, bora ya Kikwete kuliko Magufuli
We ukikuta mzazi wako huyo unayejifanya kumpenda kasombwa na kafa kwa mafuriko utaionaje hii serikali?Ukiona mtu yeyote anaefurahia hali hii ujue hana uchungu na mzazi wake
nakushauri ufuate taratibu za nchi kwani wakati unaamia hukumuuliza mwenye nyumba kama amejenga kihalali, nyumba hzin namba za mitaa, nyumba ni maficho ya wezi, majambazi vibka, wauza madawa wote wanakaa huko, kajiongeze upate maisha bora na afya njema sio kuishi kwa tishio la kipindupindu, kwa kuwa vioo vyote ni vya ghorofa, gari la maji taka haliwezi fika, zimali moto pia, nyumba hazina upepo wa kutosha, watoto wanazaliwa kwenye mazingira magumu wanoota sugu za matusi kwa sababu ma mama wengi hawana kazi, wao kusuka, umbea kupika chapati, kujifunza kucheza vigodoro, bora kama umeshindwa uombe nauli kwani kwenye hujaiba kuliko kutufia mjini kwa jari ya kipindupindu.Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?
Leo hii tunaambiwa tarehe 5 mwisho wa kuishi kwenye nyumba zetu, hivi anajua adha na mateso tunayoyapata sie?? Leo hii mtu unaambiwa uhame na mahali pa kwenda huna, watoto wanahitaji ada, uniform, madaftari n,k na pesa huna hivi kweli ni haki?
Kuna wengine wamezoea kuishi nyumba za mabondeni, sio kwamba wanapenda kupanga huku bali kipato chao hakiruhusu kuishi ma kupanga sehemu nzuri, asilimia kubwa ya wapangaji wa nyumba za mabondeni ni makapuku wa kutupwa, yaani huku vyumba ni elfu 20 hadi 25, kwa hiyo mtu nikiwa na laki na nusu naishi miezi sita, laki tatu naenjoy mwaka mzima, sasa leo hii vyumba vinabomolewa tutaishi wapi sie tuliozea kupanga nyumba za bei nafuu? Hivi hii serikali inamuangalia mtu wa hali ya chini kweli?
Yani leo tar 2 na 5 ni mwisho nawaza hadi nashindwa ntaishije na hawa watoto wawili jaman. Wenye nyumba wao mnadai wamepewa viwanja, je vipi kuhusu sisi wapangaji ambao tumezoea nyumba za bei chee kutokana na kipato chetu kidogo? Safari hii tutaumwa wengi sana kwa sababu ya serikali ya Magufuli lakini pia Magufuli sie hatukukuchagua ili ubomoe nyumba zetu bali tulihitaji utuboreshee maisha yetu na je ni kweli huyu Rais hajaona kitu kikubwa cha kuanza nacho hadi aje abomoe nyumba zetu wajamaneni??
Mimi huu mwaka wa 3 naishi bondeni na sijawahi kuona maji yameua kabisa, maana sie ikija mvua huwa tunahama na ikiisha tunarudi, maji yakijaa huwa tuanayapisha na mvua ikikata huwa tunarudi kusafisha vyumba vyetu na kuishi, bora ya Kikwete kuliko Magufuli
Nani aliwapeleka pale bonde la mkwajuni na jangwani? mi nimezaliwa Dar na umri wangu ni wa kutosha tu, sikuwahi kuona mtu anajenga maeneo yale tangu miaka ya 80 hata ya 90, iweje leo wakurupuke kutoka bush huko wanunue mabonde ya mpunga wajenge nyumba? kwani wenyeji wazaramo walikuwa hawapaoni humo mabondeni? Huo ndio ujuha.Nilipita Kinondoni wakati tingatinga linapita, ni huruma sana. Nadhani Serikali ingewapa muda baada ya kutoa agizo hasa ikiingatiwa January ni mwezi wenye majukumu mengi kwa watu wengi...
acha hizo huyu mjne akisombwa na maji ujane wake si ndio unaishia hapo, hatuwezi kumpoteza kwa sababu za kijinga, kuna siku kova na medisadick walitaka kufa kwa helkopter kisa kutembelea wahanga, bora kubomolewa kuliko kusumbua serikali, hatutaki kuona vifo vya maji bora vifo vya kupigwa na baridi ukinusurika unaomba nauli unarudi kwenu. kama ulikuwa huna mazoea kwenda kwenu anza kujipigisha simu kwa wajomba na wababa wadogo lakini kubomolewa ni tarehe 5 tu hkuna namna nyingine.Kuna mtu aliniambiaga kuwa akili za watanzania wengi ziko nyuma.zile nyumba kwenye yale maeneo zipo kuanzia miaka ya 71 huko,wengi waliobaki mle ni wajukuu na wajane,ambao hawajui waende wapi kosa ni wazazi wao waliotangulia pia ni kosa waliofanya wasimamizi wa sheria wa enzi hizo,so tufanyeje na hawa wajane na mayatima.je wabomolewe na kuwachwa kama wadudu barabarani? Lazima mambo haya yafikiliwe mara mbilimbili
Mkuu ukianza ku-trace nani kakosea, wote wana makosa. Serikali ilikuwepo wapi wakati wanajenga? Kuja kwa Serikali mpya haimaanisha uozo uliolelewa na awamu zilizopita hauwahusu, wamerithi mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na taka nyingine za wababe, kwanini waanze na watu wasio na ubavu!Nani aliwapeleka pale bonde la mkwajuni na jangwani? mi nimezaliwa Dar na umri wangu ni wa kutosha tu, sikuwahi kuona mtu anajenga maeneo yale tangu miaka ya 80 hata ya 90, iweje leo wakurupuke kutoka bush huko wanunue mabonde ya mpunga wajenge nyumba? kwani wenyeji wazaramo walikuwa hawapaoni humo mabondeni? Huo ndio ujuha.
Hujui historia ya hao watu wa jangwani na bonde la mkwajuni. Nikurudishe nyuma kidogo, kwanza alianza cpt Ditopile aliwaambia wahame na wakaelekezwa pa kwenda na viwanja wakapewa. Walichofanya baadhi waliuza tena zile nyumba huku wameshapewa viwanja! na waliobaki waligoma na kwa kuwa ni mzaramo mwenzao akamezea. Akaja Makamba, akawaamuru wahame tena! huyu wakamjibu kwa kebehi sana na kumuita wakuja! hawakuhama! akaja Kandoro akawaamuru wahame na wengine wakakubali na wakapewa usafiri wa vitu vyao na magari ya serikali yakawabebea vifaa waliowengi wakamwambia hawatuhami umetukuta town nenda na ushamba wakon Hawakuondoka akaja Said Merk naye akawaamuru wakagoma! sasa unataka notice ipi, ya miazi mitatu au ya miaka 10 naa iliyopita? kwani unafikiri hawajui,? sheria ziheshimiwe bana.Mkuu ukianza ku-trace nani kakosea, wote wana makosa. Serikali ilikuwepo wapi wakati wanajenga? Kuja kwa Serikali mpya haimaanisha uozo uliolelewa na awamu zilizopita hauwahusu, wamerithi mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na taka nyingine za wababe, kwanini waanze na watu wasio na ubavu!
All in all siafiki watu kukaa sehemu hatarishi lakini waangalie namna bora ya kutatua, wakimpa mtu waliempigia X miezi 3 ajipange ahame wanapungukiwa nn! Unampa mtu masaa 48! Sometimes ubinadamu na busara hutangulia rula ya sheria...
Mkuu ni kweli sijui historia ya muda kidogo, Pinda na Kikwete wameshawahi kuzuia bomoa bomoa ya Magufuli wakati yuko ujenzi. Watu hao wawili walikua wana madaraka makubwa wakati wao kuliko wote uliowataja.Hujui historia ya hao watu wa jangwani na bonde la mkwajuni. Nikurudishe nyuma kidogo, kwanza alianza cpt Ditopile aliwaambia wahame na wakaelekezwa pa kwenda na viwanja wakapewa. Walichofanya baadhi waliuza tena zile nyumba huku wameshapewa viwanja! na waliobaki waligoma na kwa kuwa ni mzaramo mwenzao akamezea. Akaja Makamba, akawaamuru wahame tena! huyu wakamjibu kwa kebehi sana na kumuita wakuja! hawakuhama! akaja Kandoro akawaamuru wahame na wengine wakakubali na wakapewa usafiri wa vitu vyao na magari ya serikali yakawabebea vifaa waliowengi wakamwambia hawatuhami umetukuta town nenda na ushamba wakon Hawakuondoka akaja Said Merk naye akawaamuru wakagoma! sasa unataka notice ipi, ya miazi mitatu au ya miaka 10 naa iliyopita? kwani unafikiri hawajui,? sheria ziheshimiwe bana.
hivi lile jengo lililojengwa Jangwani pale halitafikiwa na maji! kwa nini serikali isifanye reclamation au kuongeza kina cha mto!The world is unfair,kuna watu humu ni mabingwa wa kuropoka bila evidence.ukiuliza ni lini na nani na wapi mtu alikufa kwa mafuriko hawawezi kujibu,mijitu imekalia kukalili tu,ila mnaofurahia sawa furahieni ila waza ingekuwa ni wewe ungejisikiaje?
Wahamie kwenu?? Kuwa na akili japo kidogoHakuna namna.ONDOKENI.mafuriko yakija mnailaumu serikali haiwasaidii.Ondokeni banaa kwanini tunasumbuwana?
Wahamie kwenu?? Kuwa na akili japo kidogo
Watanzania wenyewe ni JIPU WANAHITAJI KUTUMBULIWA.......................Waungwana, leo naandika kichwa kikiwa kinaniuma sana na sina raha hadi nimepungua kwa sababu ya mawazo, hata vidonda vyangu vya tumbo vimeanza tena, yaani huyu Magufuli bora tusingemchagua kabisa. Kama ni namba tunaisoma kwa sana tu, hivi ingekuwa ni yeye hii hali jamani kweli angefurahia?