Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,643
- 6,822
Umepiga kumoyo mkuu
Kwa mara ya kwanza nimetembelea mkoa wa Kagera, huu mkoa upo chini sana kimaendeleo, hata mjini Bukoba kupata tu sehemu ya accommodation ni shida.
Hawa ndugu zetu wakiwa mjini especially Dar es Salaam wana mbwembwe nyingi na majivuno yaliyopindukia.
Jamaa wengi wamebahatika kusoma hasa kada ya sheria, wakitoka huku wanatelekeza kila kitu.
Rudini mjenge mkoa wenu acheni show off huko mjini
Kumejaa nyumba za nyas tu hukoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mkoa wa kagera maisha ni magumu na hali ni ngumu sana yaan watu hawana hela kabisa
Biashara zimedolola sana na hazitoki kabisa, bizaa hazina wanunuzi kabisa
Kwa hapa bukoba nimezunguka sana lakin sijaona hata muhaya mmoja ambaye hata anaduka, naona wengi ni waha, warund na wanyarwanda
Nilitembea kidogo kwenda wilaya moja inaitwa biharamulo nako sijaona wenyej kabisa
Biharamulo ndo imechangamka sana lakin napo pana wasukuma tupu ndo madon na ndo wafanya biashara wenyeji siwaon kabisa sijui wamejichimbia wapi au ndo wameuhama mkoa wao
Hali ni ngumu sana huu mkoa kutoa wilaya moja tu ya biharamulo ambayo inakaliwa na wasukuma
Wenyeji mkiwa mikoa ya watu kaz kujitapa na kingereza kumbe home hakuna kitu,
Vijijin huku nyumba ni za nyas sana bora hata vijiji vya dodoma
LONDON BABY
Tupia kapicha mkuu!!!
akili iwe oinamu'amagezi!We una chuki binafsi na hawa jamaa. Nimetembelea sana mkoa huu na pia nimetembelea mikoa mingine pia. Kagera hasa Muleba, Karagwe na Bukoba vijini wamejenga sana migombani. Hawana hurka za kujenga Bukoba mjini lkn vijijini kwao wako vizuri huwezi kuwalinganisha na mikoa mingi hapa Tanzania..
Sehemu ganiWakora waitu...
Otai kaiza
Otai rwechungura
Otai mwemezi
Akchwari, Tumejenga majumba makubwa huko paris na spain, lakini ofkozi na pale biharamulo kuna kakigorofa ka million 800 nakamalizia
mkuu yule Istanbul kaendaga wapi?Kumejaa nyumba za nyas tu huko
cheki lami ilivyochubuka kumebaki vumbi tu
Hawa watani zangu huwa hakubalian na ukwerMkoa wangu ni wa pili
Mimi sitaki kutukana mkuu kama wewe ulivyotukana lakin ukweli ni kwamba kagera hali ni ngumu sana aisee