Uongozi Dawasa na Tanesco karibu mkoa wote wa Mbeya wanamharibia sana Mama

Bwana Bima

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
418
885
Tanesco tunaomba kujua kama kuna mgao wa umeme ili wananchi tujipange. Sio kutwa nzima umeme unakatika ,biashara haziendi na mbaya zaidi wanaporudisha umeme jioni unakata kata na wengi tu washaunguliwa vitu vyao. Hii kitu inaboa sana.

Kwa upande wa DAWASA sio shida sana kwasababu tushaozea maji kutoka kwa zamu hasa wilaya ya Rungwe. Mbaya zaidi ni moja ya wilaya yenye vyanzo vingi sana vya maji. Hii ni aibu sana.

Mwenge unapokuja kila wilaya ya mbeya, maji kutwa nzima yanatoka na umeme unashinda kutwa nzima. Kama hizo changamoto kipindi cha mwenge zinakaa sawa kwanini iwe sasa hivi pindi tu mwenge unapoondoka?Inamana kuna viongozi wanamhujumu Mama. Na kama ndo hali halisi, wizara zinazoshughulikia nishati na maji basi zina changamoto sana.Imagine, hali ya maisha ngumu, pesa hakuna na una kibanda ambacho ili mambo yaende umeme unahitajika. Jamani tutafika kweli? Hili jambo halikubaliki hata kidogo. Natamani sana huu ujumbe umfikie mama
 
Kiufupi Kuna mgao wa umeme

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1701550232301863026?t=3kJq-gAKFAcMUiXpo1Qu5Q&s=19
 
Tanesco tunaomba kujua kama kuna mgao wa umeme ili wananchi tujipange. Sio kutwa nzima umeme unakatika ,biashara haziendi na mbaya zaidi wanaporudisha umeme jioni unakata kata na wengi tu washaunguliwa vitu vyao. Hii kitu inaboa sana.

Kwa upande wa DAWASA sio shida sana kwasababu tushaozea maji kutoka kwa zamu hasa wilaya ya Rungwe. Mbaya zaidi ni moja ya wilaya yenye vyanzo vingi sana vya maji. Hii ni aibu sana.

Mwenge unapokuja kila wilaya ya mbeya, maji kutwa nzima yanatoka na umeme unashinda kutwa nzima. Kama hizo changamoto kipindi cha mwenge zinakaa sawa kwanini iwe sasa hivi pindi tu mwenge unapoondoka?Inamana kuna viongozi wanamhujumu Mama. Na kama ndo hali halisi, wizara zinazoshughulikia nishati na maji basi zina changamoto sana.Imagine, hali ya maisha ngumu, pesa hakuna na una kibanda ambacho ili mambo yaende umeme unahitajika. Jamani tutafika kweli? Hili jambo halikubaliki hata kidogo. Natamani sana huu ujumbe umfikie mama
Kwani hujanunua jenereta mpaka leo?
 
Tumeshasema wakulaumiwa ni samia hamtaki kutusikiliza, samia is the source of all evils in tanzania now
 
Back
Top Bottom