Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
leo mida ya saa moja line yetu ya transfomer ilionekana kama ina hitilafu maana taa zilikuwa haziwak pamoja na vifaa vingine vya umeme, ila kabla ya kupata hitilafu nilikuwa nimeacha simu kweny charge sasa kushangaa simu inaendelea kucharge ilihali vifaa vingine vyote vya umeme havifanyi kazi nikazani wend simu yangu imeharibika nikajaribu kuweka simu nyingine pia ikakubali, sasa kuna mechanism gani ina take place hapo vifaa vyote vya umeme havifany kazi isipokiwa kucharge simu kama katika maelezo yako una evidence si mbaya ukaambatanisha