Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 129
- 166
kuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,Watu wa Sayansi waalikataa kuamini wakachagua kuelewa
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.
1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.
Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.
2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.
Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.
3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.
Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀
4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.
Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.
Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)
Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.
5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.
6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?
7.
8.
Nyinyi wagalatia mmeshagumdua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka Sasa badala muutafute ukweli mnaletea Mungu kiburiLabda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

UKIJUA kitu IMANI inakua haipo tenaLabda na wewe utaongeza kitu hapo chini.

Kama kitu sayansi haikifahamu inakiri na inaendelea na utafitikuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,
Umeansika uharoNyinyi wagalatia mmeshagumdua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka Sasa badala muutafute ukweli mnaletea Mungu kiburi
Tofauti ya binadamu na mnyama ni ufahamu kuhusu aliyeumba Kila kitu
Kama akili yako itashindwa kung'amua hilo basi wewe Hauna tofauti na mnyama na Kwa sababu umeamua makusudi kujifananisha na mnyama maana yake ni kuwa umechagua mwenyewe kuingia ndani ya Jahanam
Mungu atengeneze Jua lenye uwezo wa kuchoma Dunia mzima ashindwe kutengeneza Jahanam?
Wanasayansi hawaamini dark energy ipo, wanajua ipo ila hawana maelezo mengi kuihusu na bado wanaendelea kuitafiti. Pia Wanasayansi hawaamini bing bang, wanajua kwa uhakika ilitokea na wanakiri hawajui zaidi kabla ya bing bang nini kilikuwepo. Lakini hata ukisema Wanasayansi wanaamini hayo yote kama unavyosema bado wako tayari kubadilisha, kurekebisha na kuamini mambo mapya ikiwa yatathibitishwa kisayansi. Dini huwezi kubadilisha au kuirekebisha katika jambo lolote.kuna dark energy haionekani, hauwezi kui detect, hawajui ni nini ila wana sayansi wana amini ipo, hii unaelezeaje, watu wa dini wakiamini kitu ambacho hakionekani ni blind belief ila sayansi ikifanya hivyo ni sawa, big bang kuna mjadala kama kweli ndio ilikuwa mwanzo wa space time maana kuna wengine wana amini siyo hivyo tuamini wana sayansi wapi ? Wanaamini big bang au theory nyingine,
Hii nakubaliana na wewe,bado wako tayari kubadilisha, kurekebisha na kuamini mambo mapya ikiwa yatathibitishwa kisayansi. Dini huwezi kubadilisha au kuirekebisha katika jambo lolote.
Hazikinzani kivipi? Unaijua history ya dini ya kikatoliki? Unafahamu kwamba katoliki iliwahi kumfunga mwanasayansi Galilee kwa kuwa kosoa kuhusu maandiko ya bible kwamba Jua inaizunguka dunia?Elimu hizi mbili hazikinzani, ni kitu kimoja kuelekea ukweli ambao ni hatima yetu ya mwisho.
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.
1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.
Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.
2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na Ushirikiano kwenye jamii. Kuhusu kumpata Mungu kupitia hizi dini zetu hizi napata wasiwasi maana hata dini zenyewe bado hazimjui Mungu, zinakinzana kuhusu Mungu.
Kila dini inamuelezea Mungu kwa njia tofauti. Hata amri na sheria za dini ni tofauti. Kila dini imechagua mungu wa kumuabudu.
3. Imani ya kiroho haifundishwi, hakuna haja ya kushawishi, kutisha, kulazimisha au kumshurutisha mtu aamini kama wewe unavyo amini, hiyo inakuwa sio spirtual inakuwa ni kama siasa na kampeni za uchaguzi.
Mambo ya kiroho ni automatic tu. Dini zetu hizi zimeingia kwa ushawishi, vita na vitisho napata wasiwasi zilikuja ili watu wamjue Mungu au kuna agenda za siri?🤔Aliyetufanya watumwa ndiye aliyetupa vitabu tunavyoviita vitakatifu😀😀
4. Tofauti yetu na wanyama ni utashi, Binadamu tunautashi mkubwa ila wote tunaongozwa na kanuni zinazofanana: wote tuna struggle for existence, kuna survival of the fittest and Natural Selection.
Binadamu tunauwana tukigombania resources, Madaraka n.k the same applied to wild animals.
Soma Pia: Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spiritual)
Dini ipo kuhakikisha hatuvuki mipaka tunapo strugle for existence ndio maana unaambiwa usiibe, usiue, usitamani mali ya jirani yako n.k. Hizo ni sheria na amri za maadili.
5. Shetani je?😀 ni kiumbe cha kusadikika, imaginary creature kimeundwa na watu wa dini maalum kukutisha na ili usitoke nje ya box ndio maana utashangaa pamoja na huu utitiri wa dini uliopo ambao kazi yao kubwa ni kumkemea shetani ila hadi sasa hawajafanikiwa kwenye hilo..Why? Jibu ni kwamba wanakemea kitu ambacho hakipo.
6. Je, tunaweza kuwa na maadili bila uwepo wa dini?sheria za nchi hazitoshi? Au wewe unaonaje?
7.
8.
Jambo hilo linafahamika na sababu zake zinajulikana.Hazikinzani kivipi? Unaijua history ya dini ya kikatoliki? Unafahamu kwamba katoliki iliwahi kumfunga mwanasayansi Galilee kwa kuwa kosoa kuhusu maandiko ya bible kwamba Jua inaizunguka dunia?
so it's either haujafanya research yako vizuri or haujui kabisa. So usiseme kwamba sayansi na dini hazikinzani