Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 803
- 2,593
Nilichagua amani for my own peace of mind lakini naona huchoki.Nuulize anajua mwenyewe.
Skia Confession nilisha kuambia don't mess up, ila bado unaendelea sasa, unakuja na ID ya hydroxo na hata kujificha kwa picha nako umeshindwa kmmk..
Ndio maana ukaambiwa nguvu shamba mjini akili unaelewa maana ya huu msemo?Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...
Anamchokoza hadi bubu!Nilichagua amani for my own peace of mind lakini naona huchoki.
Ulianza PM na leo unanitag kwenye thread. Unataka nini from me
7 years nipo jf bila ugomvi na mtu but it seems upo dedicated. Endelea tu
Njombe iliingiaje hapa tena?Yani umetoka Njombe ili uje Daslam kusalimiwa na usiposalimiwa unanuna...
Acha anijibuAnamchokoza hadi bubu!
Angeshakuja kukujibu ila nina uhakika mods wamempiga ban ya kucomment
Ban yako inaisha lini?Mbona mleta uzi anashambuliwa binafsi badala ya kujibu hoja zake,je ni kweli ni wavivu,wapiga soga,wachafu,wapenda dezo
Asa unataka wawe kama wewe au? Mwenyewe umetafuta nini huku kama pamekushinda rudi ulipotoka usianzishe mada za kishenzi!Sio salamu tu, infact sio kigezo..
Watu wa Dar, wamekaa kimayai mayai sana