Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,098
- 4,831

Yale ni ya wachache mno population ya watu milion 7+ lakini wanaoitoa kimasomaso dar usikute hawafiki hata laki 5, wengi wanamiliki nyumba za uridhi sio jasho lao.
Yale mabangaloo tunayaonaga kwenye mapicha-picha Ni ya kina Nani wajemeni??![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
