Watu wa Dar bwana....

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Watu wa Dar bwana....
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia
karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta....
Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza
umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe,
utaskia nipo Kibaha kuna issue
nashughulikia ntakuchek kesho.... Kesho
ndo hutaiona simu yake ng'oo... Ukimpigia
simu kumwambia kesho naondoka, utaskia
mbona fasta kaka, daah sema umekuja
bahati mbaya sa hv npo taiti kiaina ila ukija
tena tutamit tu...
woote sound zao hzo hzo, utadhani
mwalimu wao mmoja
Afu wao wakija huku wanapopaita mikoani,
anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani
mnatafuta wadhamini?... Stori zake sasa..
Hivi huku mikoani mnaishije..? hakuna
mzunguko wa hela kabisa..
Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo
si wote mngekua Bakhressa...
asee... acheni hizi
tabia, mnatukera sana sisi wakuja.
 
Dats y nikija dar huwa spend kabisa shobo na watu na dar nawajua vema hawana inshu kwanza za msingi sana san utasikia twende tukals pweza mara twende bar af bado mfukoni akutegemee shwain kabisaaaa
 
Wanashangaza sana...!
Mie nikiendaga Dar uwa naonyesha dalili za mapema kuwa sina pesa za kutosha starehe so jamaa na marafiki watakutelekeza wakiamin wewe ni mzigo kwao kumbe changa la macho nijiachia ipasavyo!
Jionyeshe sasa kuwa una pesa aisee hao mabodigadi ni balaa utaendeshwa kwenye lolote ilimradi ujaze fulltank,utapelekwa popote,utawalisha mpk soup ya makongoro utawanunulia huku wakikupeleleza balance iliyobaki
Unaweza pewa hata Madem uchape ..,watakublashia mpk viatu!!!
Jaman Vijana wa Dar bwaanae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom