Watu wa dar acheni uchoyooooo

Watu wa dar acheni uchoyooooo

Siamini mpaka sasa sijapata mualiko hapa mjini, bora ningekuwa kwetu ningeshaalikwa nyumba kadhaa au kuletewa msosi mpaka ghetto, lakini huku kwenu ni balaa, nimefikia kwa jamaa yangu na yeye alipata dharura akasafiri kikazi, akaniacha peke yangu nikategemea labda majirani watanijali lakini waaaaapi, mpaka sasa ngoma drooo, patupu bora kesho nirudi kwetu kolomije, nilikuja kutibiwa nishaponaa.
dar tunaishi ila basis tu. Wenye uwezo was kuishi dar ni wachache sana. Hata wewe ukihamia huku yaleyaleee
 
Rafiki wa ndugu yako, siyo lazima wawe na urafiki wa wewe pia...

Unless labda ujipendekeze...

Cc: mahondaw
Lakini ikitokea shida wanajidai wananijua, wameenda disco usiku eti wanadai niwalindie nyumba, sasa kama hawatambui umuhimu wangu si wangenipotezea mkuu, uninyime pilau sahani ya buku jero lakini unikabidhi nyumba ya mamilioni nikulindie? Akili zenu zina shida mahali
 
Hahaha... Wamekuona wa mikoani unafaa kuwa sungu sungu...

Inapendeza sana...

Cc: mahondaw
 
Sio roho mbaya hali tu ndio inafanya hivi, hatuna kitu mkiwa mnakuja muwe mnatukumbuka wenzenu
Sawa mkuu, lakini hii ni sikukuu ambayo ni mara moja kwa mwaka, ndo maana siku za kawaida siwezi kulalamika kunyimwa chakula, niko vizuri sina njaa nilikuja nimejipanga kilichonishangaza ni kukosa ukarimu kwa watu wa dar
 
Pita hapa kwangu ule pilau jogoo
 
Ulikosea hesabu, msimu huu wa sikukuu watu wanatoka Dar wewe unaenda Dar!
 
Watu wa Dar kiboko yao mafuriko tu, wanajidai wako busy na ujanja ujanja tu lkn hawana hata ratiba nzuri ya kula na kulala, kiujumla maisha yao ni kuungaunga tu soletepu kila kitu, jirudie Kolomije weee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom