Hii situation kiukweli inachanganya sana,Mimi binafsi kuna jamaa cku moja kanipigia cm...... Simjui hanijui lkn akawa anasema "sasa ndugu yangu mi nipo bank hapa nirushie account yako lkn naomba nikulipe 8mil ndugu yangu naomba nisaidie tumalize biashara" mi nikabaki nimeduwaa...nikamuuliza unajua unaongea na nani? Akajibu anajua ndo maana ananiomba account, sbb nilijua jamaa ame-wrong number nikamwambia angalia hiyo namba hlf piga tena.. Unajua jamaa alipigia tena zaidi ya mara tatu akisisitiza nitume acc no lkn atatuma 8m tu ili tumalize business,,, mwisho kabisa ikabidi nimueleweshe kuwa amekosea namba na si deal na biashara kabisa,hapo ndo akili zikawa zimemrudia. Baadae alinitumia laki kunishukuru.
Alert: nothing is free