Watu wa benki jamani mnanitia majaribuni

Huyu jamaa ni mwongo nadhani kama ingekua kweli hizo hela zimeingia kwenye akaunt yake hata humu jamvin asingekuja.
 
Huo ni mgao wako wa Escrow baaada ya kumaliza za EPA. Dhambi itawatafuna mpaka sana mjitaja wenyewe.
 
Huwa wanakosea hao, utakuta teller anapost akili ipo whatsup, lazima achanganye!
 
Nimekuwekea mimi,nitakupigia baadaye niko mombasa.
 
Kachukue hela kisha nitafute nikuonyeshe bar nzuri na madem wakali!
 
Watakutafuta uzilipe, it happened to my friend, lakini tafuta mwanasheria akupe ushauri
 
Biashara ya bahati na sibu itakua inalipa sana.
 
Mi kwa muda wa miezi sita walikuwa waniongezea pesa walianza elfu 20 mpaka 90,nikamwambia ba watoto akaniambia niwe nachukua bank statement ili wakinikamata tuwabane vizuri.
 

ndugu yangu nahofu tutaanza kufuatana, na nimejaribu kutoa laki 5 zimetoka.
 
Ukizichukua automatically itakua counted kama loan kwako. na kumbuka tulifundishwa katika corporate finance kanuni moja inasema one bird in hand is much better than two in the bush.
 
umeshawataja! simbanking inajulikana ni CRDB.
 
bank hawakutaka tu kufuatilia unapo fungua account kuna detail nyingi kukuhusu unawapa unaonaje wangetinga kwa mkuu wa chuo na kuriport huo wizi mliofanya? msingelipa??
 

kumbe Watz wote ni wezi kama viongoz wao! mama yangu tumekwisha.
 
na hivi hawajui ni nani ndo ushajipatia mihela..
 
kwani akaunti ni mali ya nani? mteja au benk? au wote?
Mkuu kwa hilo omba Mungu wasikudake...utaulizwa hizo pesa ulijua si zako na ukachukua kwa nini hukumuuliza banker wako...ushauri wangu chukua kiasi ambacho unajua utaweza kurudisha fasta ukitaitiwa,vinginevyo utaonja lupango hakika nakwambia...usifuate ushawishi wa watu we jiangalie mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…