Watu tunatafuta kazi serikali inanyanyasa watumishi

badsangu

Member
Nov 1, 2017
67
28
Serikali Yawafukuza Watumishi 71 Huku Saba Wachunguzwa

Udaku Special Blog / 4 hours ago

[https://1]

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewafukuza kazi watumishi 71 na wengine 7 wakichunguzwa kwa tuhuma za rushwa huku watu wengine watatu ripoti zao zikiwa TAKUKURU na wawili wengine wao wameshafikishwa mahakamani tayari.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale akiwa mkoani Kigoma amethibitisha hilo na kusema kuwa watumishi hao ni wale waliokuwa wakihudumu katika mizani mbalimbali ya nchini na kudai kuwa wamekuwa wakikiuka taratibu mbalimbali.
"Wafanyakazi 71 tumewafukuza kazi lakini uchunguzi unaendelea kwa watu wengine saba ambao wao tunauhakika wanajiusisha na rushwa lakini kam tunavyojua uchuzi ni lazima pia wapo watu watatu ripoti zao tayari zipo TAKUKURU huku watu wengine wawili wao tayari wameshafikisha mahakamani" alisema Mfugale
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amesema idadi ya wafanyakazi hao 71 waliofukuzwa ni toka mwezi Januari 2017 mpaka Oktoba mwaka huu.

Visit website
 
mkuu uwe unauliza kwanza au uafuatilia angalau kwa wahusika(wafanyakaz wa mizan).....mtu ale rushwa afukuzwe kaz useme ananyanyaswa.....m naona bora adhabu ingeongezwa waende na jela tu
 
Mleta mada ni mmoja wa waliotemeshwa ngese
 
Ni ngumu sana kwa mfanyakazi Wa serikali hususani Wa chini kupiga hatua bila kuwa mwizi au mla rushwa,vinginevyo akubali kuwa na pesa ya kula na kulipa kodi ya chumba tu,mambo mengine hawezi kufanya kama kujenga,kupeleka watoto shule bora,rushwa na wizi haviwezi kuisha kwa watumishi Wa umma
 
Back
Top Bottom