Kwenye Taifa ambalo watoto wa Shule bado wanachapwa bakora sana unadhani kuna lolote? Hata hizo nchi nyingi zao ni za kiislam, wale wale wako tofauti sana. Tena ukute wanapata maoni kutoka kwenye nyumba za ibada, wako tayari kwa lolote. Huwezi kupata suicide bomber ama wa kujichoma moto bongo.Hata Hosni Mubarak alitumia jeshi kutaka kuzima maandamano.
Kilichotokea wote tunajua. Na huyo ni mtu aliyekaa madarakani karibu miaka 30!
Come on Mangi. You need to get rid of that defeatist attitude.
Mangi, unarudi kulekule kwenye hoja yangu.Hivi unadhani uko unapopasema ni sawa na sisi?
Kuna sort moja kuhusu mazungumzo ya Siad Barre wa Somalia na mwalimu Nyerere, ambapo mwalimu alimwambia kuwa wewe kwako hakuna Amani na una wananchi milioni tano tu, na kwangu nina wananchi milioni 30 na kuna amani.
Siad Barre akamwambia, wewe unaongoza kondoo milioni 30 na mimi ninaongoza chui wachache!
Katiba hii ni ya kikoloni na hakuna ujanja. Niambie walioenda kinyume na Maghufuli wako wapi? Ben Saanane mwenyewe alihoji PhD yake akapotezwa.
Katiba yetu ni ile ya mkoloni. Unadhani tulipata uhuru kwasababu wananchi waliamuwa? Wangetaka kubaki wangeweza. Mashinikizo hayakuwa ya wananchi.
Hahahaaaa. Unachosema ni kweli.Kwenye Taifa ambalo watoto wa Shule bado wanachapwa bakora sana unadhani kuna lolote? Hata hizo nchi nyingi zao ni za kiislam, wale wale wako tofauti sana. Tena ukute wanapata maoni kutoka kwenye nyumba za ibada, wako tayari kwa lolote. Huwezi kupata suicide bomber ama wa kujichoma moto bongo.
What has this got to do with anything here?Walinda legacy wa mwendazake wekeni ma brush chini sasa,ameshaenda zake na tumeshaachana naye,pumzikeni sasa
Ajabu kabisaNyumbu hawawezi kukuelewa, wanakomalia mfumo huku wao wamemkumbatia Mbowe
Heshima kwako Mkuu, naheshimu muandiko wako hapa jukwaani.Jamii nayo ni mbovu.
Katiba inaiakisi jamii.
Ajabu kabisa
Hivi arobaoni ya mwendazake lini?Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu.
Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi inayojiendesha yenyewe. Kumekuwepo na manung’uniko mengi sana kuhusu ukosekanaji wa mifumo bora na taasisi bora hapa Tanzania.
Muundo wa serikali yetu kwa sasa ni ‘top heavy’. Rais wetu ana madaraka makubwa sana na mengi mno. Sawa, hiyo ni kweli kabisa. Lakini, kilicho cha muhimu kabisa kabla hatujaanza kubadili namna tunavyojiongoza, ni lazima kuwepo na mabadiliko ya kifikra.
Ni lazima tubadilike kifikra na ndipo tutaweza kujenga mifumo imara na taasisi zilizo bora. Fikra kama za ‘ameula’, pale mtu anapoteuliwa kwenda kuutumikia umma, hazijengi chochote kile kilicho bora na imara.
Fikra za kwamba ‘Rais hakosei’, hazijengi chochote kilicho bora na imara. Fikra za kumuona Rais ni kama mungu mtu flani hivi, ni lazima zikome.
Fikra za kinafiki nazo lazima zikome. Kama mtu upo serikalini na hukubaliani na mwelekeo wa serikali unayoifanyia kazi, achana nayo. Jiuzulu. Siyo kujifanya unaunga mkono ili mradi tu uendelee kuitwa waziri lakini kumbe moyoni huamini katika chochote serikali hiyo inachokisimamia!
Mabadiliko ya kifikra hayakwepeki endapo kweli tunataka kuliendesha taifa letu kiutofauti na tunavyoliendesha sasa. Hata tukija kupata katiba bora kabisa duniani, endapo fikra zetu hazitobadilika, katiba hiyo itakuwa ni kazi bure tu. Our collective national ethos has to change. No two ways about it!
Peace ✌️. I’m outta here like last year.
Zihesabu siku zake.Hivi arobaoni ya mwendazake lini?
Pole kwa kuondokewaZihesabu siku zake.
Well said.Mambo ya msingi umeongea NN, lakini kubadilika kifikra si mbadala wa katiba mpya, tupate katiba mpya, mengine yafuate.
Yawezekana katiba mpya isitusaidie "sana" lakini hii ya sasa ndio haitusaidii "kabisa". Imagine watu wenye kinga ya kutokushitakiwa ni wangapi? Ikipatikana katiba mpya iliyoondolewa hicho kipengele hata mimi na wewe tunaweza kufile mashitaka, ile tu viongozi fulani fulani wakiona wanaweza kushitakiwa hata kama ni miungu watu kiasi gani wataanza polepole kubadilika kifikra.
Kubadilika kifikra ni process ndefu, katiba ni process fupi, Katiba ikiwa bora itasaidia kushape fikra za watu (si kwa asilimia zote).
Nawe pole kwa kuondokewa!Pole kwa kuondokewa
Nyani una msongo wa mawazo sanaNawe pole kwa kuondokewa!
Wewe una mazonge mno!Nyani una msongo wa mawazo sana
Tungekuona una akili haya ungeyasema kipindi kile Cha msukuma mwenzio magufuli,Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu.
Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi inayojiendesha yenyewe. Kumekuwepo na manung’uniko mengi sana kuhusu ukosekanaji wa mifumo bora na taasisi bora hapa Tanzania.
Muundo wa serikali yetu kwa sasa ni ‘top heavy’. Rais wetu ana madaraka makubwa sana na mengi mno. Sawa, hiyo ni kweli kabisa. Lakini, kilicho cha muhimu kabisa kabla hatujaanza kubadili namna tunavyojiongoza, ni lazima kuwepo na mabadiliko ya kifikra.
Ni lazima tubadilike kifikra na ndipo tutaweza kujenga mifumo imara na taasisi zilizo bora. Fikra kama za ‘ameula’, pale mtu anapoteuliwa kwenda kuutumikia umma, hazijengi chochote kile kilicho bora na imara.
Fikra za kwamba ‘Rais hakosei’, hazijengi chochote kilicho bora na imara. Fikra za kumuona Rais ni kama mungu mtu flani hivi, ni lazima zikome.
Fikra za kinafiki nazo lazima zikome. Kama mtu upo serikalini na hukubaliani na mwelekeo wa serikali unayoifanyia kazi, achana nayo. Jiuzulu. Siyo kujifanya unaunga mkono ili mradi tu uendelee kuitwa waziri lakini kumbe moyoni huamini katika chochote serikali hiyo inachokisimamia!
Mabadiliko ya kifikra hayakwepeki endapo kweli tunataka kuliendesha taifa letu kiutofauti na tunavyoliendesha sasa. Hata tukija kupata katiba bora kabisa duniani, endapo fikra zetu hazitobadilika, katiba hiyo itakuwa ni kazi bure tu. Our collective national ethos has to change. No two ways about it!
Peace ✌️. I’m outta here like last year.
Una uhakika sikuyasema???Tungekuona una akili haya ungeyasema kipindi kile Cha msukuma mwenzio magufuli,
Lakini kipindi kile ulikuwa unademka uku umeshika kiuno kumsifia ndugu yako kwa kila jambo
Hapa ndiyo kuna tatizo kubwa kwa Africa ambalo Barack Obama aliliona alipohutubia Bunge la Ghana mwaka 2009 na akasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."expand...