Watu saba waliopotea katika mazingira ya kutatanisha

naona tu calfornia minesota mi nilijua wenyevit wa vijiji kibiti ben saa nane nawengine
 
Basi itakuwa vizuri ukiandika kuhusu we ukipendacho na unachokifahamu wewe, maana mimi nimeandika nikipendacho na jambo zuri jf kila mtu anaweza andika chochote ili mradi usivunje sheria mkuu.
Jukwaa liko wazi karibu
 
Sijamuona Ben Saanane
Leo ndiyo nimegundua watanzania uwa hatusomi habari tukaelewa au tukaimaliza lakini tunawahi kucomment tu, wewe ni mtu wa pili unasema hujamuona Ben Saanane, kaangalie mtu wa saba nimemuandika nani na Ben ndiye nimeandika mengi kuliko wote.
 
Ungesea tu wamarekan 7waliopotea katika mazngira ya kutatanisha
Kuna mmbongo hapo hujamuona?

Sema ni rahisi kupata habari za wamarekani maana wao huandaa makala za matukio kama haya kutoka kwenye rekodi halisi za taasisi za kiserikali zinazohusika na tukio halisi
 
Nilicho kigundua Thomas Edison alikua mtu mjanja mjanja sana tena kwa huy9 Le prince atakua yy alihusika70% Refer Nikola Tesla Saga..

Ila mkuu GTs tushakupata point yako ilikua wapi:.
 
Sikutaka elezea zaidi kuhusu Le Prince ukisoma zaidi kuhusu kupotea kwake na theories zinazo revolve zinahusiaha uvumbuzi wake huo.
Edson alikuwa mwizi mwizi na mwenye tamaa sana.
GT kumbe umenisoma mkuu
 
Wamerekani Washenzi sana mkuu..
Mm huyu T E sijaona kitu cha maana alichokifanya tofauti na kuiba yy na J P morgan..

Nje ya Mada.
Hivi mkuu saga ya D. B. Cooper unalizungumziaje..?

Fantasia
 
Huyo jamaa mimi ninahisi atakuwa aliwahi pitia kwenye mafunzo ya kijeshi na alikuwa ana uelewa sana juu ya mambo ya ndege. (Jeshi la anga ndilo wazo nililonalo)
Ndiyo maana alikuwa anajua milango ya ndege inavyo function, anajua kuruka na parachute na anajua details nyingi.
Halafu mimi ninahisi hakufa ali survive ila kuna kiasi cha notes zilipotea katika harakati zake za kuruka labda ndizo hizo zilizookotwa pwani.
Kwakweli tokea la DB Cooper ni la kipekee mpaka leo miaka 45 bado linawaumiza vichwa
 
Mm nahisi ni concidence tu ilichorwa na secreat society kama ya Malaysia Flight..
 
Hivi issue ya Malysia tena ngoja niulize yale mabaki yaliyookotwa zenj hayakuwa ya Malysia Airline?
 
Mm nahisi ni concidence tu ilichorwa na secreat society kama ya Malaysia Flight..
Ulishawai kusoma kisa cha meli iitwayo Mary Celeste? Kilitokea mwaka 1870, ambapo meli ilikutwa baharini ikiwa haina mtu hata mmoja na hakuna dalili ya hao watu walikokwenda na kila kitu kiko sawa tu.
 
Hapana mkuu bado sijakisoma aisee Kama hutajali tushushie tupate ilmu.

Japo ww kavivu ka kumalizia mikasa..
 
Nikianza kuandika yani nachoka mapema sema, kule jukwaani nitashusha moja ya wizi mmoja wa akili sana uliofanyika brazil, then nitashusha ya mauaji flani ndipo ntaandika na hii ya Mary Celeste
 
Nasubiri kwa hamu mkuu sema tu sijui nazipata wapi hizi mambo, pia nyenzo sina..
 
Back
Top Bottom