watu na historia zetu!

watu na historia zetu!

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,422
Reaction score
25,320
544618_598576160170818_1818009197_n.jpg
mwe!
 
Kesha anza kuuma kucha, kime eleweka tayari!
 
Siku hizi hiyo haipo, ukimtekenya tu anajifanya ameangukia kifuani kwako na aissssssssss nyingiiiii.
 
mmm siku hizi hata wanaume hawajui kutongoza wanaishia tu kumaliza hela zao, yaan wanafanya vitendo tu sound hawana na watoto wa kike wantongozeka kirahis sana asubuhi jion tayari kakubali na kashamvulia mh , na wanaume pia hawajui kusoma alama za nyakati, bint hapo ameshakunja mguu na anauma kidole sasa anasubiri nini? ombi lake tayari limekubaliwa
 
Ameline nitake radhi bhana.

Mimi Simba wajameni swala aliyekufa mwenyewe sikuli.
 
mmm siku hizi hata wanaume hawajui kutongoza wanaishia tu kumaliza hela zao, yaan wanafanya vitendo tu sound hawana na watoto wa kike wantongozeka kirahis sana asubuhi jion tayari kakubali na kashamvulia mh , na wanaume pia hawajui kusoma alama za nyakati, bint hapo ameshakunja mguu na anauma kidole sasa anasubiri nini? ombi lake tayari limekubaliwa
Amekunja mguu kuzuia michirizi isishuke chini huko juu mafuriko.
 
Back
Top Bottom