Watu na afya zao

Watu na afya zao

Mi mwenyewe ubini umenitoka kidogo ila huwa ni maarufu km mzee wa totoz.
Unajua watu wakisoma haya maneno hapa jf wanaonauzushi mnamo mwaka 2005 nilikua pale mji wa bomba2 kwa masikio yangu rafiki yangu wa karibu kabisa alinishuhudia kua walikua na rafiki wa karibu kabisa wa huyo tieni, wakiwasiliana kwa simu ikawekwa loudspeaker mzee wa tieni alisikika akijisifu kua muda huo alikua akichapa totoz 0713...hivyo hua sishangai akiitwa wa totoz hapa jf.
 
Back
Top Bottom