Watu na afya zao

Watu na afya zao

sio muda wataanza kutembea huku matumbo yao wamepakia kwenye matoroli
 
Tena vijisichana vidogo vidogo vinawapenda kweli kweli. Ni koni tuu inawasumbua mengine sidhani..Huku kajilalia ka mende weye unajilambia koni tuuu

mmh aisee siwezi na mijasho watu wanene walivyo aku
 
Back
Top Bottom