...anaitwa Abdallah Kassim Hanga, ambaye Nyerere alimrubuni Sekou Toure amrejeshe kwa kumhakikishia kuwa hatamdhuru, matokeo yake (kama Mobutu alivyomkabidhi Lumumba kwa wauwaji wake) ndiyo hivyo hivyo Nyerere alimkabidhi Hanga na Othman Shariff kwa Karume,akawanyonga na mapaka hivi ninvyoandika makaburi ya wazalendo hawa hayajuulikani yalipo. Kibaya kuliko yote ni kuwa Hanga kabla ya kupelekwa "kwa Mandera au kwa Bamkwe" (gereza la mateso na mauwaji kule zanzibar enzi za Karume) alimdhalilisha hadharani na kumwita msaliti, licha ya Wazee wa Iringa kule kumsihi na kumpigia magoti Nyerere wakimtaka asiwapeleke Hanga na Shariff kwa Karume, Nyerere hakusikia la muadhini wala mteka maji msikitini, aliwapeleka na Karume akawanyongelea mbali. zidumu fikra zake!!!!Leta picha
=======
na yule jamaa mweingien wa Zanzibar aliyekimbilia Guinea Bissau halafu akarudi na kunyongwa (sikumbuki tena jina lake kwa vile kasahaulika kabisa)
...anaitwa Abdallah Kassim Hanga, ambaye Nyerere alimrubuni Sekou Toure amrejeshe kwa kumhakikishia kuwa hatamdhuru, matokeo yake (kama Mobutu alivyomkabidhi Lumumba kwa wauwaji wake) ndiyo hivyo hivyo Nyerere alimkabidhi Hanga na Othman Shariff kwa Karume,akawanyonga na mapaka hivi ninvyoandika makaburi ya wazalendo hawa hayajuulikani yalipo. Kibaya kuliko yote ni kuwa Hanga kabla ya kupelekwa "kwa Mandera au kwa Bamkwe" (gereza la mateso na mauwaji kule zanzibar enzi za Karume) alimdhalilisha hadharani na kumwita msaliti, licha ya Wazee wa Iringa kule kumsihi na kumpigia magoti Nyerere wakimtaka asiwapeleke Hanga na Shariff kwa Karume, Nyerere hakusikia la muadhini wala mteka maji msikitini, aliwapeleka na Karume akawanyongelea mbali. zidumu fikra zake!!!!

Ukiona tunalia hapa, tunapiga kelele na CCM&SMZ unaona kama si wazalendo au tunachuki binafsi,hapana ndugu yangu, nchi hii imefanyika mambo makubwa,yanatisha. Imagine unakuwa unapata fahamu zako unaambiwa mzee wako ameuliwa lakini alipozikwa hapajuulikani , ukiuliza unaambiwa usikumbushe mambo ya zamani yaliyopita ndo yamepita, roho ya mzee wako!!Ina maana Karume nae alikua muuaji au?
Ina maana Karume nae alikua muuaji au?
Wataanzia wapi wanabaki Hi! he! nafikiri kwanza wanalinganisha mtindi ulioutowa hapo juu na ule waliopewa na baba wa taifa kama unalingana, na bado waambiew vizuri kuwa hiyo TANU anayojivunia Nyerere kuiasisi ilikuwapo tokea yeye ananyonya,mbona mko kimya?
.....sheikh Ali Muhsin Barwani, L.J .Mwijage(aliyesalitiwa na shushu mmoja maarufu wa Nyerere anayejiita bingwa wa utabiri Afrika Mashariki)unauliza Tende BAGHADADI? halafu unajua karume alikuwa kama sadist hivi na ukitaka habari za karume mtafute bwana mmoja anaitwa KEPTENI MALIKI yuko Dar atakupa stori za Karume mka utakimbia mwenyewe
Kwa yeyeote anayejua historia ya Tanzania atakuambia kuwa Nyerere alikuwa na jela zake mithili ya GULAG za stalin ambazo walipelekwa akina Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan...yap listi haishii hapo inaendelea walikuwepo akina Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.
Karume yeye alikuwa hana cha mswalie mtume maana yeye alikuwa anatesa na kuua bila huruma
Nyerere on the otherhand aliamua kuajiri ma Pro kufanya uuaji na mateso kwa niaba yake
leta picha
=======
watu wengine waliosahaulika ni pamoja na kasela bantu, oscar kambona, field marshall okelo, na yule jamaa mweingien wa zanzibar aliyekimbilia guinea bissau halafu akarudi na kunyongwa (sikumbuki tena jina lake kwa vile kasahaulika kabisa)
sHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA BIBI TITI MOHAMED.aziz ally..
.....sheikh Ali Muhsin Barwani, L.J .Mwijage(aliyesalitiwa na shushu mmoja maarufu wa Nyerere anayejiita bingwa wa utabiri Afrika Mashariki)
mzee mkandara,
waweza kuniambia wasifu wa mzee tambaza na kwanini ile shule ilipewa jina lake?
Pia nitashukuru kupata wasifu wa sheikh amri abeid kama hutajali.
Yaonekana ni watu muhimu sana kiasi kwamba serikali iliamua kutoa majina ya kumbukumbu huku wakiwa bado wako hai.
picha ziko nyingi sana nyerere akiwa na kaptula tizama hata magazeti ya miaka ya mwanzoni 1958-1961 kuna kipindi akaja kuwa anavaa kofia na bakora miaka ya mwishoni ya sitini na mwanzoni ya sabini.
Pia hakuna kanisa lolote lililowahi kufanya ibada ya kuwaondoa wakoloni ni misikiti na masheikh ndio walikuwa wakimwita nyerere na kufanya ibada za uhuru.
Hata hotuba za nyerere amekiri mara nyingi kufanyiwa dua na masheikh kama sheikh ramia,chaurembo sheikh ramadhan abbas n.k
hakuwa padri wala mchungaji aliyewahi kufanya ibada ya kuwaondoa wakoloni.
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA BIBI TITI MOHAMED.
alisema nini shiekh takadir?kama tungemsikiliza sheikh suleiman takadir, madhila haya ya uonevu tusingeyapata. Mungu amlaze pema.