abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Baada ya Alikiba Kuachia nyimbo yake ya MEDIOCRE na kufanya mitandao yeye na Hasim wake kuwa Gumzo na kupelekea watu Kutafsiri kuwa Alikiba kamtupia Dongo Diamond na kufanya yule kijana wa chitohoi kuzimika ghafla hii imefanya Watu wake waanze kujitetea na kutaka kuaminisha Watu kuwa Alikiba kaisha na Anafosi Bifu na Diamond ili Arudi kwenye chat na kudai sasaiv Hasim wa Diamond ni Harmonize hahahaha
Harmonize kwa Kiba hatoshi hata kwenye kiganja cha Mkono kuanzia Mafanikio Mashabiki Mpaka Hela na Dhambi
Kumlinganisha Alikiba na Msanii mwenye Tuzo ya Ubao kutoka kwa sonara wa Mwanza Alio pewa na Hbaba huo ni uhuni
Huwezi mringanisha msanii Ambae Anatuzo nyingi za kimataifa Anamashabiki wa Damu kabisa na mtu Ambae toka Ameanza kujita jeshi Anapiga show za Bure tu
Na kama Kutupa vijembe ni kutafuta back up basi Kiba amesha mpa back up Diamond kitambo baada ya Diamond kuimba diss track inayo muhusu Kiba
Pia ikumbukwe wasanii wenye Mafanikio Makubwa Tanzania ni Diamond Alikiba Sasa uyo mtu Wa chitohoi Ana Nini cha kuwekwa na Alikiba!????