Watu la leo

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,857
Kaaambali nà hawa
 

Attachments

  • 1410399497852.jpg
    50.5 KB · Views: 779
Tena wengi wako humu JF. Ukileta habari kwamba ulimwokoa mtoto aliyekuwa akikimbizwa na mbwa, utapigiwa kelele, wapi picha, au lete picha. Kwenye hatari cha kufanya ni kuokoa na si kupiga picha, labda iwe ni hatari ambayo huwezi kujumuika kuokoa kama vile moto mkubwa nk.Mathalani leo kuna mtu kaleta picha ya msikiti unaoungua huko Kinondoni Dar, akisema alikuwa kwenye tukio akapiga picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…