t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,408
- 14,870
Wakati unamshangaaa huyo , juzi Kati hapa nilipata hitilafu ya umeme nyumbani kwangu , nikamkumbuka namba ya fundi umeme aliyofanya wiring hapo kabla , kumcheck ipo hewani tukaelewana aje kwa marekebisho
Amefika maongezi yalikuwa ni kulaumu kuwa kazi hakuna watu hawajengi sana na hata wao mafundi kiujumla hawana kazi na alishukuru sana kwa deiwaka Ile ambayo ilikuwa ni kurekebisha main fuses kadhaa , malipo halali haizidi hta 10000 ukimpendelea sana
Kilichonistaabisha pamoja na mateso yote mitaani na kulalamika ukosefu wa kazi , jamaaa ni mshabiki kindaki ndaki wa Ccm , akaenda mbali zaidi kusema waliokosa pesa wote ni wapiga dili, kwa kweli nilishimdwa kumuelewa Mana kwa mantiki Ile hata yeye aliqualify kuiitwa mpiga dili.