Watu kama hawa sijui wamerogwa na nani au ni ubongo haufanyi kazi?

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Kuna dada mmoja namjua alisoma kwa shida hadi akamaliza degree yake ya ualimu akiwa na ndoto nyingi za maisha, yeye alijua kuwa akimaliza tu Chuo anaajiriwa moja kwa moja kama ilivyokuwa tangu nchi ipate uhuru kuwa Mwalimu anavyomaliza Chuo alikuwa anaajiriwa moja kwa moja, yeye alimaliza 2015, akusubiria mwezi wa nne 2016 Kama iliyozoeleka hapo Nyuma Kuwa walikuwa wanaajiriwa mwez wa nne, ndipo akakutana na mabadiliko Ya magufuli Ya kutoajiri had Leo, muda wote huo alikuwa mitaani akifanya Kazi Ya Kujiuza ili kuweza kumudu maisha.

Leo namshangaa anasema atamchagua Magufuli, nimejiuliza Sana mno na nimemsikitikia nakujiuluza kuwa hivi hawa wasomi wetu walisoma wakamaliza Elimu Ya Chuo kikuuu kweli?

Kitu cha kwanza Kwa mwananchi anachopaswa kuangalia katika kuchagua kiongoz ni je huyu ninaenda kumpigia kura atasaidiaje Mimi kupata unafuuu wa maisha? Na unafuu wa kwanza kuliko vyote uko kwenye ajira, sasa wewe mtu akaja kuondoa fursa yako ya ajira tena kipindi mwafaka kwako nakusababisha uwe omba omba miaka mitano, bado unasema eti utamchagua? Una akiri kweli wewe? Hata Kama ndugu zako wote ni Ccm unapaswa kujionea huruma
 
Nchi hii kuna watu wapumbavu sijapata kuona. Hawajui kabisa haki zao kama raia. Hata pamoja na ugumu wa kutisha katika maisha yao ya kila siku kuishi kwa shida, kutojua mlo wao utatoka wapi, kutokuwa na uwezo wa kusomesha watoto wao shule zenye hadhi ya kuitwa shule lakini bado wanapigia kura maccm!!!
 
Kwahiyo huyo unayefikiri atakupa ajira bila kutengeneza uchumi utakao iwezesha nchi kujiendesha ni nani? Au mmelogwa nyie ebu waangalieni vizuri hao mnao wakusudia kufanya miujiza.

Kama kungekuwa na nchi ya kuifanyia majaribio tungewapa ili muonje ingawa sumu huwa haionjwi kamwe.
 
Miaka Yote hamsini Ya Nyuma wao walikuwa wanatoa wapi? Au na wewe umerogwa? Atengeneze uchumi Kwanzaa, kwani miaka yooote huo uchumi ulikuwa haupo? Hao waliokuwa wanaaajiri alikuwa analipa mama yako? Acha kujitoa ufahama Kwa Maelezo ya kitoto
 
Jitu Kama hiili linauzi Sana, hivi huo uchumi miaka 20 Nyuma watu walikuwa wanaajiriwa moja Kwa moja Leo hili linajitoa ufaham eti kutengeneza uchumi, kwani huko Nyuma kulikuwa hakuna uchumi? Acheni ujinga wa kishamba Kama wasukuma bhana
 
Nchi hii kuna watu wapumbavu sijapata kuona. Hawajui kabisa haki zao kama raia. Hata pamoja na ugumu wa kutisha katika maisha yao ya kila siku kuishi kwa shida, kutojua mlo wao utatoka wapi, kutokuwa na uwezo wa kusomesha watoto wao shule zenye hadhi ya kuitwa shule lakini bado wanapigia kura maccm!!!
Nina jirani yangu hapa by Age ni 70+
Hiyo nyuma ukiiona yani akiwa ndani kalala unamsalimia na yeye anakuona vizuri hata mikono mnashake!!!
Hana pension
Kula ni kugongea
Mke alimkimbia
Akiumwa hata panado hana
Ila ukimkuta anavyo kisifu chama hutaamini yan ana kofia,mwamvuli,peni,T-shirt,mwamvuli ,underwear( sijui) vya chama yani akikusogelea mdomo unanuka njaaa!!!!sasa huwa najiuliza ni mm ndo sijielewi au yeye ?? Yan he is poverty stricken person !!! Lakin weeeee
 
Ukirogwa huwezi jua umerogwa
Tz Asilimia kubwa Tushachanganywa vichwa ni ngumu kujielewa.
Ingekuwa mimi ni tundu lissu ningeacha kila mtu apambane anavyojua na haya maisha kuliko kujitoa kafara kwaajili ya watu wasiojua wanataka nini kwenye Dunia
 
Kuna watu nahisi wamelogwa nchi hii, mtu anakwambia mimi siwapendi Chadema au Ccm , lakini ukimwambia akupe sababu za kutowapenda , hakupi hata sababu moja ya kuokoteza.
 
Hatujasema wote, Lakini kumbuka kuwa Nyuma walikuwa wanaajiriwa walimu wote na madktari wote, walikuwa wanaenda wote Kama walivyokuwa wanatoka vyuoni, Hakuna Mwalimu aliekuwa anabaki hata mmoja labda wewe ni mgeni wa haya mambo
Tumia akili hata kidogo wewe nyumbu

Hivi unadhani graduates waliokuwa wanahitimu before 2015 ni idadi sawa na idadi ya graduates wanaoihitimu miaka hii?
 
Acha kufananisha Marekani na Tanzania wenzetu hata wasipoajiriwa wametengeneza mifumo ya kujiajiri kuanzia mfumo wa elimu pamoja na miundo mbinu
Unadhani marekani hamna graduates jobless?

Unadhani marekani hamna graduates wanaokaa kijiweni na kulia lia na kulaumu serikali km wewe?
 
Tumia akili hata kidogo wewe nyumbu

Hivi unadhani graduates waliokuwa wanahitimu before 2015 ni idadi sawa na idadi ya graduates wanaoihitimu miaka hii?
Yani utakuwa unatumia matako kuongea, nimekuambia kuwa Nyuma walikuwa wanamaliza na kuajiriwa wote, na Mwaka Wa mwisho wa kikwete waliajiriwa 46,800 walimu tu hao, huo ni Mwaka Wa mwisho wa kikwete, sasa Kama unaakiri niambie ni Mwaka upi magufuli aliajiri walimu zaid ya 4,000 tu? Kama hautumiii matako kufikiri utanijibu
 
Miaka Yote hamsini Ya Nyuma wao walikuwa wanatoa wapi? Au na wewe umerogwa? Atengeneze uchumi Kwanzaa, kwani miaka yooote huo uchumi ulikuwa haupo? Hao waliokuwa wanaaajiri alikuwa analipa mama yako? Acha kujitoa ufahama Kwa Maelezo ya kitoto
Acha kujaa upepo Dada utabreed siku sio zako,.

Chadema wangekuwa wamejipanga wanasilahaa nyingi sana za kushinda saa tatu asubuhi Lakn navyoona hawajajipanga.

Kuna mambo kama waliotimuliwa vyeti feki, mishahara kwa watumishi wa umma, ajira kwa vijana, wafanyabiashara hizo zote wangetumia kwenye kampeni wangeweza kuwashawishi.. Sasa jamaa kila apitapo anaelezea tu kupigwa risasi na kuponda ndege alizonunua mwenzake..

Kutokujipanga kwao ndio kutawafanya walambe udogo mapema
 
Yani utakuwa unatumia matako kuongea, nimekuambia kuwa Nyuma walikuwa wanamaliza na kuajiriwa wote, na Mwaka Wa mwisho wa kikwete waliajiriwa 46,800 walimu tu hao, huo ni Mwaka Wa mwisho wa kikwete, sasa Kama unaakiri niambie ni Mwaka upi magufuli aliajiri walimu zaid ya 4,000 tu? Kama hautumiii matako kufikiri utanijibu
Unadhani sasa hivi vyuo vinatoa waalimu wangapi kwa mwaka mmoja?

Endelea kukaa kijiweni na kulia lia serikali hivi mara vile

Hamna siku serikali itakuletea ugali na hela ya mboga nyumbani kwako

Hata chama gani kikishika dola hilo halijitokea

Ishi kisomi wewe badilika nenda na wakati tumia akili yako kupata maendeleo la sivyo utalia lia milele

Na chadema akishinda ukose ajira utakuja tena kulia hapa na kuipigia chapuo ACT nako ukifeli utahama tena hivi hivi
 
Back
Top Bottom