Watu kama hawa sijui wamerogwa na nani au ni ubongo haufanyi kazi?

Wakati unamshangaaa huyo , juzi Kati hapa nilipata hitilafu ya umeme nyumbani kwangu , nikamkumbuka namba ya fundi umeme aliyofanya wiring hapo kabla , kumcheck ipo hewani tukaelewana aje kwa marekebisho

Amefika maongezi yalikuwa ni kulaumu kuwa kazi hakuna watu hawajengi sana na hata wao mafundi kiujumla hawana kazi na alishukuru sana kwa deiwaka Ile ambayo ilikuwa ni kurekebisha main fuses kadhaa , malipo halali haizidi hta 10000 ukimpendelea sana

Kilichonistaabisha pamoja na mateso yote mitaani na kulalamika ukosefu wa kazi , jamaaa ni mshabiki kindaki ndaki wa Ccm , akaenda mbali zaidi kusema waliokosa pesa wote ni wapiga dili, kwa kweli nilishimdwa kumuelewa Mana kwa mantiki Ile hata yeye aliqualify kuiitwa mpiga dili.
 
Jitu Kama hiili linauzi Sana, hivi huo uchumi miaka 20 Nyuma watu walikuwa wanaajiriwa moja Kwa moja Leo hili linajitoa ufaham eti kutengeneza uchumi, kwani huko Nyuma kulikuwa hakuna uchumi? Acheni ujinga wa kishamba Kama wasukuma bhana
Nywanoko
 
Wakati unamshangaaa huyo , juzi Kati hapa nilipata hitilafu ya umeme nyumbani kwangu , nikamkumbuka namba ya fundi umeme aliyofanya wiring hapo kabla , kumcheck ipo hewani tukaelewana aje kwa marekebisho

Amefika maongezi yalikuwa ni kulaumu kuwa kazi hakuna watu hawajengi sana na hata wao mafundi kiujumla hawana kazi na alishukuru sana kwa deiwaka Ile ambayo ilikuwa ni kurekebisha main fuses kadhaa , malipo halali haizidi hta 10000 ukimpendelea sana

Kilichonistaabisha pamoja na mateso yote mitaani na kulalamika ukosefu wa kazi , jamaaa ni mshabiki kindaki ndaki wa Ccm , akaenda mbali zaidi kusema waliokosa pesa wote ni wapiga dili, kwa kweli nilishimdwa kumuelewa Mana kwa mantiki Ile hata yeye aliqualify kuiitwa mpiga dili.
Ujue wengi wa wapiga kura wa ccm ni watu wajinga yaani wasio na shule,maskini,wanawake na wazee na baadhi ya walioenda shule na hawakuelimika ila hayo makundi ndio wapiga kura wao na hata hawajielewi
 
Yani utakuwa unatumia matako kuongea, nimekuambia kuwa Nyuma walikuwa wanamaliza na kuajiriwa wote, na Mwaka Wa mwisho wa kikwete waliajiriwa 46,800 walimu tu hao, huo ni Mwaka Wa mwisho wa kikwete, sasa Kama unaakiri niambie ni Mwaka upi magufuli aliajiri walimu zaid ya 4,000 tu? Kama hautumiii matako kufikiri utanijibu

Tumia akili ushasema mwaka wa mwisho wa Kikwete!!! Inamaana mzigo wote ulibebwa na mwaka wa kwanza wa JPM
 
Kwahiyo huyo unayefikiri atakupa ajira bila kutengeneza uchumi utakao iwezesha nchi kujiendesha ni nani? Au mmelogwa nyie ebu waangalieni vizuri hao mnao wakusudia kufanya miujiza.

Kama kungekuwa na nchi ya kuifanyia majaribio tungewapa ili muonje ingawa sumu huwa haionjwi kamwe.
We msukuma kavae yeboyebo ulale
 
Nchi hii kuna watu wapumbavu sijapata kuona. Hawajui kabisa haki zao kama raia. Hata pamoja na ugumu wa kutisha katika maisha yao ya kila siku kuishi kwa shida, kutojua mlo wao utatoka wapi, kutokuwa na uwezo wa kusomesha watoto wao shule zenye hadhi ya kuitwa shule lakini bado wanapigia kura maccm!!!

Na wanapiga mizinga kinoma nishaga wafungia vioo mimi
 
Anajenga barabara mpitishe mazao
Ametoa baadhi ya kodi kwenye kilimo
Barabara zipi hizo? unafuatiliaga bunge wewe? husikiagi kila bunge wabunge wanaililia tarura iongezwe pesa? barabara zipi zimejengwa ikiwa alivyoziacha JK ndo hadi leo ziko vilevile
Kagera-kigoma vumbi
Tabora-Kigoma vumbi
Kigoma-katavi -Rukwa vumbi
Mbeya-Tabora vumbi
Mbeya-sindida vumbi
Mara-Arusha vumbi
Katavi-Tabora vumbi
Ruvuma-morogor vumbi
Simiyu-singida vumbi
Simiyu-arusha vumbi
Hizo barabara anajenga kwenu? By the way unajua kwamba bajeti ya kilimo ilishuka kwa zaidi ya 50%? kilimo kipi hicho unachosemea wewe? alichovuruga soko la mbaazi na korosho? pembejeo ziko wapi.
Sie tunajua anajenga chato na sgr na stiglaz ambazo haziishaga toka 2015
 
Kwahiyo walihitimu 2015 ni wengi kuliko waliohitimu 2014 kurudi nyuma? Au unataka kusemaje?
Uchumi hujengwa na watu wanaofanya kazi rasmi na pia hao hao ndiyo hulipa kodi. Kama asilimia kubwa ya watu wanafanya kazi zisizo rasmi, unafikiri hata serikali itapata kodi? Ndiyo matokeo hayo unawatoza mpaka wauza mboga mboga 20,000.
Kwa hali hii, kodi ya kichwa na matiti itarudi tu.
Tumia akili hata kidogo wewe nyumbu

Hivi unadhani graduates waliokuwa wanahitimu before 2015 ni idadi sawa na idadi ya graduates wanaoihitimu miaka hii?
 
Barabara zipi hizo? unafuatiliaga bunge wewe? husikiagi kila bunge wabunge wanaililia tarura iongezwe pesa? barabara zipi zimejengwa ikiwa alivyoziacha JK ndo hadi leo ziko vilevile
Kagera-kigoma vumbi
Tabora-Kigoma vumbi
Kigoma-katavi -Rukwa vumbi
Mbeya-Tabora vumbi
Mbeya-sindida vumbi
Mara-Arusha vumbi
Katavi-Tabora vumbi
Ruvuma-morogor vumbi
Simiyu-singida vumbi
Simiyu-arusha vumbi
Hizo barabara anajenga kwenu? By the way unajua kwamba bajeti ya kilimo ilishuka kwa zaidi ya 50%? kilimo kipi hicho unachosemea wewe? alichovuruga soko la mbaazi na korosho? pembejeo ziko wapi.
Sie tunajua anajenga chato na sgr na stiglaz ambazo haziishaga toka 2015
Mpuuzi wewe nani kakwambia barabara za tanroad zinajengwa na tarura
 
Kuna dada mmoja namjua alisoma kwa shida hadi akamaliza degree yake ya ualimu akiwa na ndoto nyingi za maisha, yeye alijua kuwa akimaliza tu Chuo anaajiriwa moja kwa moja kama ilivyokuwa tangu nchi ipate uhuru kuwa Mwalimu anavyomaliza Chuo alikuwa anaajiriwa moja kwa moja, yeye alimaliza 2015, akusubiria mwezi wa nne 2016 Kama iliyozoeleka hapo Nyuma Kuwa walikuwa wanaajiriwa mwez wa nne, ndipo akakutana na mabadiliko Ya magufuli Ya kutoajiri had Leo, muda wote huo alikuwa mitaani akifanya Kazi Ya Kujiuza ili kuweza kumudu maisha.

Leo namshangaa anasema atamchagua Magufuli, nimejiuliza Sana mno na nimemsikitikia nakujiuluza kuwa hivi hawa wasomi wetu walisoma wakamaliza Elimu Ya Chuo kikuuu kweli?

Kitu cha kwanza Kwa mwananchi anachopaswa kuangalia katika kuchagua kiongoz ni je huyu ninaenda kumpigia kura atasaidiaje Mimi kupata unafuuu wa maisha? Na unafuu wa kwanza kuliko vyote uko kwenye ajira, sasa wewe mtu akaja kuondoa fursa yako ya ajira tena kipindi mwafaka kwako nakusababisha uwe omba omba miaka mitano, bado unasema eti utamchagua? Una akiri kweli wewe? Hata Kama ndugu zako wote ni Ccm unapaswa kujionea huruma
Nenoo uteuzii ndo kaugonjwa ka wasomi uchwalaa
 
Unadhani sasa hivi vyuo vinatoa waalimu wangapi kwa mwaka mmoja?

Endelea kukaa kijiweni na kulia lia serikali hivi mara vile

Hamna siku serikali itakuletea ugali na hela ya mboga nyumbani kwako

Hata chama gani kikishika dola hilo halijitokea

Ishi kisomi wewe badilika nenda na wakati tumia akili yako kupata maendeleo la sivyo utalia lia milele

Na chadema akishinda ukose ajira utakuja tena kulia hapa na kuipigia chapuo ACT nako ukifeli utahama tena hivi hivi
Ww nae unakuwa kama hujasoma bwana,jamaa amekueleza kuwa inawezekana kweli namba ya graduates ineongezeka lakini ni lini JPM aliajiri idadi ya walimu 46800 aliojairi kikwete mwaka wa mwisho alipokuwa madarakani???.

Sote tunajua hakuna serikali inayoweza kimpelekea mtu ugali mezani,but serikali makini hutengeneza mazingira ya watu wake kuupata huo ugali tofauti na TZ ya sasa.
 
Miaka Yote hamsini Ya Nyuma wao walikuwa wanatoa wapi? Au na wewe umerogwa? Atengeneze uchumi Kwanzaa, kwani miaka yooote huo uchumi ulikuwa haupo? Hao waliokuwa wanaaajiri alikuwa analipa mama yako? Acha kujitoa ufahama Kwa Maelezo ya kitoto
Huhuuuu
 
Adui ujinga adui maradhi adui umasikini

Hawa maadui bado wanalitafuna taifa
 
Mpuuzi wewe nani kakwambia barabara za tanroad zinajengwa na tarura
Acha upoyoyo wako soma uelewe,hapo nilikuwa najibu hoja ya barabara za vijijini za tarura kwamba zinatengwa bajeti kiduchu sana,on top of that nikakutajia na barabara kuu za tanroads ambazo bado ni vumbi ,ule uongo wa kuunganishanchi nzima kwa lami kati ya mkoa na mkoa nimeubainisha,kiufupi hakuna mlichofanya miaka 5 iliyopita kutekeleza ilani yenu ya 2015,kama zzk alivyosema yoote mliyoahidi mumefanya 31% tu na kuongeza umaskini kwa watu na deni la nchi milandi isiyo ya maana.
 
Nifikishie ujumbe wangu kwake,mwambie aichague tu ccm ataendelea k*t**bwa tu na ajira ataisikia tu kwenye redio
 
Back
Top Bottom