BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Nina jirani yangu hapa by Age ni 70+
Hiyo nyuma ukiiona yani akiwa ndani kalala unamsalimia na yeye anakuona vizuri hata mikono mnashake!!!
Hana pension
Kula ni kugongea
Mke alimkimbia
Akiumwa hata panado hana
Ila ukimkuta anavyo kisifu chama hutaamini yan ana kofia,mwamvuli,peni,T-shirt,mwamvuli ,underwear( sijui) vya chama yani akikusogelea mdomo unanuka njaaa!!!!sasa huwa najiuliza ni mm ndo sijielewi au yeye ?? Yan he is poverty stricken person !!! Lakin weeeee