figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Mia
Hata kama hatuja endelea lakini hili ni baaab kubwa. Hata Europe atashtakiwa na SPCA.
Songíto;3104309 said:ila wazenjibari wanakosa uhondo...jamani hii kitu ya mgongoni huko ukiikuta imekaangwa na kurostiwa na ndizi choma pembeni na ka pilipili kwa mbaaaaali!!! wale wenzangu na mimi wanajua nazungumzia nini..... ila wale wenzangu na mimi toka pande za wazenjiBARA ambao imani sio kali kiivoooo huwa tunapigapiga nao kimtindo, sema wanatakaga vichochoroni wasionekane...
Kwetu ZNZ tumawatafuta sana huwa tuna wauzia libya sudan somalia na uarabuni kama unao kumi somalia wanawataka sana