Habari za asubuhi.
Leo nimekaa nikawa natafakari watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa.
Utakuta watu wawili katika uchumba wanapendana sana, wanaweka pamoja mipango ya maisha ya ndoa na kuchukua hatua stahiki hadi kukamilisha hili agano.
Wanafunga ndoa, harusi kali inayofana vilivyo lakini wakiingia ndoani na kukaa miaka miwili, minne, tano unaanza kusikia visivyo.
Mara mmoja anampiga mwingine, mmoja amekuwa mlevi wa kupindukia, mmoja au wote wanachepuka n.k
Shida iko wapi wakubwa. Ni kwamba wanakuwa hawajui ndoa ni nini na huingia kichwa kichwa mwishowe kustaajabu yaliyomo ndani?
Kwa nini watu wanashindwa kuwa humble, kujishusha na kutengeneza ndoa impendezayo Mungu.
Kwa nini watu hawataki kuinvest effort and time kuimarisha haya mahusiano na wanaona rahisi zaidi kubomoa agano hili takatifu. Nini huwa kinatokea na kusababisha kukata tamaa?
N.B Mimi ni kijana wa kiume, mid 20's, bado sijaoa. Nilipanga nioe within 2 years sema nimesogeza mbele zaidi hadi niwe na uhakika na mtu na hatua nnayoenda kuchukua.
Eti, shida iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app