Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

Naona ANGUKO KUU LA Paul Makonda.
Atatafuta njia ya kupita,atakuwa amechelewa
Atalitafuta Jeshi linalomzunguka sasa,,,Hataliona tena.
Ataomba Msaada kwa Baba yake,ambaye muda huo atakuwa ameji quarantine CHATO,,,,hatasaidiwa
Mungu alivyo muaminifu,yoote atakayotaka kufanya ili kuiokoa nafsi yake,,,ATAKUWA AMECHELEWA.
NOTE MY WORDS.
Kumbe Manabii bado wapo.
 
Mkuu Technically unadhani maneno ya Secretary Pompeo yalipita bure?
Ogopa sana Beberu.
Hasa mda mfupi kabla ya Uchaguzi,Beberu sawa tu na wajumbe,Beberu sio mtu wa kudharauliwa.
Kunyima watu Uhuru wa kuishi sio neno dogo.
Mzee baba alikua anatafuta mwanya wa kumtosa Yona.
Yona kajiingiza mwenyewe ndani ya kumi na nane za Mzee baba.
Mzee baba kayafanyia kazi maneno ya Pompi.
 
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe.

Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa, wanasachiwa, wanavuliwa nguo hawana kabisa amani tena, wewe Bashite ni nani?

Wote niliowataja mwisho wao hakika umekuwa na uchungu mkubwa.

Ukija Tanzania kwenye utawala wa Kikwete, Masha na Membe na Karamagi walikuwa un-touchable, leo wako wapi? Leo Membe mpaka watu hawapokei simu zake.

Makonda ajifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.

Pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya chochote ndani ya utawala wa Kikwete lakini bado kuna muda alijishusha. Nakumbuka bungeni kwenye mjadala wa Escrow alisimama kutoa maoni na Nasari aliomba mwongozo na kumwambia nyamaza na Ridhiwani alinyamaza na kukaa, sijui angekuwa Makonda ingekuwaje?

Makonda, Sabaya, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.
Tunawakumbusha tu
 
Ole sabaya tutakumiss sana
 
Makonda na Sabaya mjifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.

Makonda, Sabaya, Chalamila, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.
Mh mvua hiyo
 
Mkuu,
Una maono ya mbali!
 
Back
Top Bottom