Watu hawa ni nani kwetu?

Mafanikio gani tena mkuu!?unaweza kugawana na mtu ambaye hajawekeza hata kumi?
Mfano yeye ni mama wa nyumbani, wewe ni mfanya biashara....
Kisha Mungu akawabariki mkafanikiwa kujenga nyumba kadhaa kwa biashara unayo ifanya wakati yeye anabaki nyumbani akikupiki, kusafisha nyumba, kukufulia, kuangalia mtoto/watoto, kubaki na nyumba ukiwa safarini, bar, mitaani na kazini....
Hapo pia atakua hajachangia katika mafanikio yenu..??
Ama kuchangia mafanikio unaitafsiri kwamba hadi asombe maji kichwani, achimbe msingi wa jengo, aje akae dukani nk:......😂
 
Bahati mbaya umauti ukimkuta akiwa kwako, hilo sakata kulimaliza lazima mtu atolewe ngeo.
 
Mafanikio gani tena mkuu!?unaweza kugawana na mtu ambaye hajawekeza hata kumi?
Mmh hiv unaweza lipa nini kitakacho kuwa sawa na ile peace of mind, comfort, huduma anazotoa kama mama wa nyumban na mke kwako? Usiseme hajawekeza kitu wenda kawekeza kikubwa kuliko vile ww unavyo fikria
 
Siku wakiwafia mikononi/Magetoni ndio mtajua ni nani wenu!Ndio mtajua kachumbari ni mboga au inasaidia!
 
Back
Top Bottom