Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nazungumzia sisi wajuba ambao tunaishi na wanawake kwao hatujulikani wala hatujatoa hata kumi na bado tunaishi na wanawake hao mwaka ama mwaka miwili ama mitatu na watoto wametuzali. ,Je, tuwaite ni wake zetu ama mademu zetu ama tuwaite mama watoto wetu?
Kwenu studio [emoji851]
Kwenu studio [emoji851]