watu hasi wanaotuzunguka

watu hasi wanaotuzunguka

hamasisha

New Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3
Reaction score
2
  • Hapendi mafanikio yako. Huyu akisikia umefanikiwa jambo la heri au hata wazo la kimafanikio ataumia Sana. Furaha yake uwechini yake au mlingane. Huyu ukimpelekea wazo akushauri andika umepoteza mda. Na watu Hawa wengi ni marafiki zetu au ndugu wa karibu
  • Hakupendi, akikuona anahisi anakereketwa. Mtu kama Huyu hashindwi kukufanyia mashambulizi. Jema baya halitengui hisia zake za chuki kwako. Hawa ni wakukaambali nao
 
Well said mkuu
 
Watu hao pia hupenda sana kuendesha magari aina ya NISAN tena meupe na ndani ya magari yao kuna SMG zenye risasi zaidi ya 30. Usiombe kukutana nao
 
  • Hapendi mafanikio yako. Huyu akisikia umefanikiwa jambo la heri au hata wazo la kimafanikio ataumia Sana. Furaha yake uwechini yake au mlingane. Huyu ukimpelekea wazo akushauri andika umepoteza mda. Na watu Hawa wengi ni marafiki zetu au ndugu wa karibu
  • Hakupendi, akikuona anahisi anakereketwa. Mtu kama Huyu hashindwi kukufanyia mashambulizi. Jema baya halitengui hisia zake za chuki kwako. Hawa ni wakukaambali nao
Mimi nakutakia mafanikio mema aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom