Watu bwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu bwana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KML, Jun 6, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa: Ndabi naomba unisaidie angalau elfu tano nina shida sana familia yangu haijala toka jana
  Ndabi: Aisee unanishangaza sana mke wako anaonekana ana roho mbaya sana
  Jamaa: kwanini??
  Ndabi: Jana tu nimetoka kumuhonga elfu hamsini ameshindwa kukupa ata elfu tano
  Jamaa: unasema nini (ngumi)
   
 2. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Duh balaa
   
Loading...