The number looks too odds to be true hata kama ni nchi nzima, si tunaona clip za hali na matumizi ya nguvu askari wanayo fanya. Hapo kwa jirani wakati wa financial bill watu wa haki za binadamu wame report watu 35 hivi ndio walikufa, compare level of tension na matumizi ya nguvu kisha tuone kama the number could be realistic, ofcourse ni kweli hakuna anae jua namba sahihi hilo nakubali"Hali irudi kuwa kawaida"? Hata sijui una maana gani hapa. Kamwe hali haiwezi kurudi kawaida wakati Samia na Genge lake wakiendelea kuwa madarakani.
Watu 700 kuuliwa kama ni nchi nzima utaziona maiti zote zimerundikana mahali pamoja?
Ninacho kubaliana na wewe ni kuwa hakuna anayejuwa idadi sahihi ya waTanzania waliouliwa hadi sasa, lakini hata wangekuwa ni 10 tu, bado haihalalishi msimamo uliochukuliwa na viongozi waovu hawa.
Kila kifo kitakachothibitika lawama zote zinawahusu hawa mashetani
Data hio wametoa chadema, japo wao awali walishawishi watu kama no reform no election ni njia ya kuzuia damu za watu.