Watu 5 wafariki katika ajali ya Super Sammy Nyanguge Mwanza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Takribani watu 5 wamefariki na wengine wapatao 11 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Sammy linalofanya safari za Mwanza na Tarime Mkoani Mara kupinduka eneo la Nyanguge, Kamanda wa Polisi Msangi athibitisha kutokea kwa ajali.


WhatsApp Image 2016-12-03 at 2.15.06 PM.jpeg
WhatsApp Image 2016-12-03 at 2.15.08 PM.jpeg
 
Back
Top Bottom