Watu 4 watiwa ndani baada kuzomea msafara wa Dr. Shein kisiwani Pemba

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
WATU WANNE WASHIKILIWA NA POLISI MICHEWENI BAADA YA KUDAIWA KUMZOMEA DKT SHEIN.
Jana majira ya saa 12.30 jioni wafuatao wamewekwa ndani ktk kituo cha polisi Micheweni wakitokea kijiji Mpopooni Micheweni kama ifuatavyo:-.
1. OMAR HASSAN HAMAD (42)
2. HASSAN OMAR HASSAN (16).
3. HASSAN NASSOR HASSAN (12).
4. HAMAD NASSOR HASSAN (11).
Shauri hili limeripotiwa katika kituo cha polisi Micheweni.
 
Muwe na adabu wakati mwingine. Wewe unajua yule ni Kiongozi Haijalishi humpendi au kwa misimamo yako unaamini sio Kiongozi unawajibika kumheshimu japo moyoni humtaki. Vinginevyo kaa nyumbani uwaache wanaomtambua kuwa ni Kiongozi waendelee na sio kuzomea. Katika Hali ya kawaida ya kibinadamu tuache siasa Hakuna mtu anayependa kuzomewa au kudhalilishwa. Acha sheria ichukue mkondo wake
 
Yule ni kiongozi mstaafu kwa mujibu wa katiba ya zbar. Tayari ukomo wa uongozi wake umefikia mwisho.Walikuwa wanapeleka meseji, ndio iliyobaki kwao!

Muwe na adabu wakati mwingine. Wewe unajua yule ni Kiongozi Haijalishi humpendi au kwa misimamo yako unaamini sio Kiongozi unawajibika kumheshimu japo moyoni humtaki. Vinginevyo kaa nyumbani uwaache wanaomtambua kuwa ni Kiongozi waendelee na sio kuzomea. Katika Hali ya kawaida ya kibinadamu tuache siasa Hakuna mtu anayependa kuzomewa au kudhalilishwa. Acha sheria ichukue mkondo wake
 
Muwe na adabu wakati mwingine. Wewe unajua yule ni Kiongozi Haijalishi humpendi au kwa misimamo yako unaamini sio Kiongozi unawajibika kumheshimu japo moyoni humtaki. Vinginevyo kaa nyumbani uwaache wanaomtambua kuwa ni Kiongozi waendelee na sio kuzomea. Katika Hali ya kawaida ya kibinadamu tuache siasa Hakuna mtu anayependa kuzomewa au kudhalilishwa. Acha sheria ichukue mkondo wake
kiongozi kwa katiba ipi ? dunia nzima inafahamu kwamba ameshindwa vibaya uchaguzi wa oct 25 .
 
  • Thanks
Reactions: PNC
WATU WANNE WASHIKILIWA NA POLISI MICHEWENI BAADA YA KUDAIWA KUMZOMEA DKT SHEIN.
Jana majira ya saa 12.30 jioni wafuatao wamewekwa ndani ktk kituo cha polisi Micheweni wakitokea kijiji Mpopooni Micheweni kama ifuatavyo:-.
1. OMAR HASSAN HAMAD (42)
2. HASSAN OMAR HASSAN (16).
3. HASSAN NASSOR HASSAN (12).
4. HAMAD NASSOR HASSAN (11).
Shauri hili limeripotiwa katika kituo cha polisi Micheweni.
mbona wale waliomzomea bungeni hawajakamatwa ? ni nani wa kuwatetea wananchi wa nchi za kiafrica , TRUMP ?
 
kiongozi kwa katiba ipi ? dunia nzima inafahamu kwamba ameshindwa vibaya uchaguzi wa oct 25 .
Ndio nikasema kama wewe unaamini huyo sio Kiongozi halali Acha kukaa barabarani na kuzomea manake utakamatwa na Unaweza usipate mtetezi.
 
Mara nyingine kujistukia tu, alijuaje anazomewa?
Isitoshe hichi kiherehere cha kuwakamata ndo kinaamsha hisia nyingine kwamba kumbe hapendwi. Rais mzima uamuru watu wanne wakamatwe ati wamekuzomea katika nchi inayozidi raia milioni tatu...?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom