Micheweni, Pemba: Watu wanne washikiliwa na Polisi baada ya kudaiwa kumzomea dkt. Shein

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Anaandika Ally Saleh kupitia ukurasa wake wa twitter

Watu wanne washikiliwa na Polisi Micheweni baada ya kudaiwa kumzomea dkt. Shein huko Micheweni, Pemba

1. OMAR HASSAN HAMAD (42)

2. HASSAN OMAR HASSAN (16).

3. HASSAN NASSOR HASSAN (12).

4. HAMAD NASSOR HASSAN (11).

Shauri hili limeripotiwa katika kituo cha polisi Micheweni.
 
1&2 ni baba na mwanawe
3&4 watoto ndugu moja.... Wapemba wanazaa kila mwaka ndo maana wamepishana mwaka mmoja tu.
Ushauri
Wawaache hao watoto hawakujua kwa nini wameambiwa wazomee.
 
Washughulikiwe kikamilifu!

Hata Marekani, Mchezaji wa Zamani wa Argentina kazuiwa kuingia Marekani kwa kosa la kukejeli Picha za Rais Trump!

Anaeshindwa kutii Mamlaka kwa hiyari yake ashurutishwe kwa nguvu
 
Washughulikiwe kikamilifu!

Hata Marekani, Mchezaji wa Zamani wa Argentina kazuiwa kuingia Marekani kwa kosa la kukejeli Picha za Rais Trump!

Anaeshindwa kutii Mamlaka kwa hiyari yake ashurutishwe kwa nguvu
Huyu dada alimyooshea dole la kati Trump kwenye msafara na hakushtakiwa
images%20(7).jpg
 
Mwenye picha ya yule dada aliyemuoneshea rais "Trump" kidole cha matusi naiomba, au ule uzi nipate link yake
 
Acha wakafunzwe adabu maana familia zao zilishindwa, hawa viongozi ukiachana na nafasi zao za kisiasa nao ni baba, babu, mjomba wa watu, na hao wote wangependa kuona mtu wao akiheshimika kama wanavyoheshimika wengine
 
Back
Top Bottom