Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
taratibu mkuu. wamesema eti swala linachunguzwa na polisi akiwemo mkuu wao. mia
Haiingii akilini, mauaji wayafanye wao, halafu wao wao watuundie tume ya kuchunguza mauaji!
Chagonja naye akili yake fupi kama pua yake! eti anadai marehemu alitupiwa kitu kizito, na wanachunguza kujua ni kitu gani!
Inakera sana, inasikitisha sana, inaudhi sana, inaumiza sana, inahuzunisha sana! sina maneno mengine mazuri ya kuwakilisha hisia zangu zaidi ya haya maneno!
SHAME ON SAID MBAYA (aka MWEMA).
SHAME ON KIKWETE
SHAME ON CCM!
Wasidhani kuwa wanayoyafanya yatakisaidia chama chao cha majambazi, kumbe ndiyo wanakiangamiza na kuongeza hasira kwa wananchi!