sio BBC bwana ni DWSWAHILI
polisi wetu! we real need action to be taken! f.ck them all!
tumesikiliza radio tofauti mkuu. mia
Na hao jamaa 32 wakishafikishwa mahakamani itakuwa si ruksa kulizungumzia swala hili. Sasa na sisi tukikubali hata kwa jambo lililo wazi hivi, basi tatizo litakuwa ni sisi wenyewe. Tunaomba wanahabari mtuongoze katika kulipigia kelele hili na kuwawajibisha wahusika wote kwa kuhusika kwao ama nafasi zao. TUMECHOKA
ASA
kaka
kikawaida DW ndio huanza na kufuatia na BBC ambayo sasa hivi ndio matangazo yake yamekwisha saa moja unusu ya bongo ni matangazo ya saa moja tu,sasa ni VOA saa moja unusu hadi mbili kamili usiku,sasa hebu angalia mada yako umeweka saa ngapi na redio gani ilikuwa hewani?
Mods please unganisheni hii na ile ingine. Haiwezekani tukachangia habari 2 zinazolandana.
wonders shall never end!!!
Yaani niwa wakati jeshi linaendeshwa ki-machenical zaidi. Hawafahamu kwa dunia ya sasa unatakiwa uwe na urefu wa hakili na sio mwili. Nakugongea LIKEndio tatizo la watendaji wengi wakuu wa polisi kuwa na elimu ya darasa la 7, wengi wa maofisa wa polisi ninawafahamu walipata kazi kwa kigezo cha urefu.
haya ni maajabu ya tisa ya dunia