Tuandamane kumtoa madarakani. Safari moja inagharimu si chini ya milioni 50, mara hizo safari 322 hapo unaongelea pesa ambayo ingetosha kujenga vitu 200 vya afya huko vijijini. We better kick him out.Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?
Tuandamane kumtoa madarakani. Safari moja inagharimu si chini ya milioni 50, mara hizo safari 322 hapo unaongelea pesa ambayo ingetosha kujenga vitu 200 vya afya huko vijijini. We better kick him out.
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Ni heri kukaa kimya hakuna atakayejua kama wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kulinganisha kuliko kuandika na kuonyesha uwezo finyu wako wa kufikiri na kulinganisha!!Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Nimetuma ujumbe huo kwa mtu 200 na wajumbe wa NEC ya CCM. Hilal hajawahi kuwa raisi you have missed out big time
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?